PreGE2025 Ahadi za uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Extension780

New Member
Joined
Apr 4, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Kipindi Cha uchaguzi wa mwaka 2020 zilitolewa ahadi kede kede ikiwemo ujenzi wa "flyovers" Kwa junctions kama magomeni, Morocco, na mwenge.

Hizi zingesaidia sana kupunguza foleni katika Jiji la Dar es salaam.

Hadi sasa tunaelekea kwenye uchaguzi mwingine na ubao bado unasoma "bila bila" kuhusiana na ahadi hii au tusubirie "MUUJIZA" wowote katika dakika hizi za lala salama?

Alamsiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…