Ahadi za Mwakyembe wakati wa bunge la budget

ELIESKIA

Senior Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
120
Reaction score
19
wakat wa bunge la bajeti waziri mwakyembe kwenye bajeti yake alitoa ahadi ya utekelezaji wa miradi ikiwemo malipo ya fidia kwawananchi kupisha ujenzi wa reli eneo la tangasisi Tanga pamoja na usafiri wa treni. kwa mdomo wake aliahid kulipa wananchi mwezi wa tisa na usafir kuanza mwezi wa kumi.cha kushangaza malipo hadi leo unaenda mwezi wa kumi hayajalipwa ni dana dana za uhakiki ambao ulishafanyika miaka miwil iliyopita. sina hakika kama hata usafiri wa treni ndo umeanza au magumashi kisa bunge linaanza kesho ili kutengeneza mazingira ya kujisifu pasipo na tija. hebu lipeni waananchi acheni kuwapotezea muda na ahadi na muda usio isha
 
Tuliza boli, ngoma iko jikoni, Mwakyembe huwa anatoa vitu vya uhakika!
 
nadhani wanasubiri mapato yatayotokana na treni alafu watatumia kuwalipa..
 
wakat wa bunge la bajeti waziri mwakyembe kwenye bajeti yake alitoa ahadi ya utekelezaji wa miradi ikiwemo malipo ya fidia kwawananchi kupisha ujenzi wa reli eneo la tangasisi Tanga pamoja na usafiri wa treni. kwa mdomo wake aliahid kulipa wananchi mwezi wa tisa na usafir kuanza mwezi wa kumi.cha kushangaza malipo hadi leo unaenda mwezi wa kumi hayajalipwa ni dana dana za uhakiki ambao ulishafanyika miaka miwil iliyopita. sina hakika kama hata usafiri wa treni ndo umeanza au magumashi kisa bunge linaanza kesho ili kutengeneza mazingira ya kujisifu pasipo na tija. hebu lipeni waananchi acheni kuwapotezea muda na ahadi na muda usio isha

Ndiyo umekasirika kuona Dar es salaam treni zimeanza kufanya kazi?
 
mhh utakuwa mmiliki wa daladala wewe wabongo bwana
hela atoe mfukoni kwake au hadi zitoke hazina
acha hizo waziri mtoa ahadi mtekelezaji mwingine
 
Back
Top Bottom