Ahadi za Miss chitchat sept; Miss remmy atekeleza ahadi zake akabizi cafe maalum kwa wana chitchat

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Nikiwa mwandaaji wa mashindano ya miss chitchat,nimekabiziwa zawadi maaalum toka kwa miss chitchat sept miss Remmy niiwakilishe kwa wana Chichat ikiwa ni sehemu ya majukumu ya utekelezaji wa ahadi zake
chitchat_2_1.png
chitchat_2_1.png
chitchat_2_1.png
chitchat_2_1.png
chitchat_2_1.png


Nawasilisha kwenu wana chichat,napendekeza muuunde zamu ya kuhudumia cafe hii

images
 
Last edited by a moderator:
Tuna shukuru sana Miss chichat sept kwa kutujali/kuwajali wana Chitchat,Huu ni mfano wa kuigwa kwa miss chitchat ajaye wa mwezi october
 
Tuna shukuru sana Miss chichat sept kwa kutujali/kuwajali wana Chitchat,Huu ni mfano wa kuigwa kwa miss chitchat ajaye wa mwezi october

Nadhani Madame B yeye atatoa kitu mikubwa zaidi ya hii.
 
Back
Top Bottom