Huu ni mwisho wa mwaka 2012,wanaJF ni muda wa kujadiri angalau kwa sehemu ahadi za mgombea wa urais kupitia CCM 2010-2015,wakazi wa ziwa aliwahidi meri kubwa ,treni,machinga complex,zahanati za kata, mitaji,bajaj za wagonjwa,MAISHA BORA,Je unakumbuka