aliisaac1000
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 407
- 272
Give a rightful explanation of such a person
Ni sawasawa na kula MATAPISHI ,jaman nchi INA gesi gharama za kuzalisha zinatoka wapi tena,Mr Presida usitukatishe tamaa na sisi ambao tunakuunga harakati zako,ngoja nichukue solar panel umeme nitakuwa nawasha usiku tu kwa ajili ya frig na taa