Jk ni m2 kama wa2 wengine ana mapungufu yake, mengi aliyokua anaahadi alikua ana tania 2 na watu wengi huwakujua anatania hivyo wakabaki wanasubiri huku marafiki zake wakijua yuko kweny mzaha, jk ni ccm toka utoto wake na sote 2najua tabia ya ccm kwa miaki hii 53 ya uhuru, hiv ni haki hata mbele ya allah yy hata haumwi kuchet tu afya anaenda USA but mamamjamzito wa milima ya upare huko mamba miamba wakati uchungu umempata apande bajaj kweny milima na majabali makubwa, je jk alikua serious au coz anajua 85% ya watz ni wajinga ana2mia hii nafac kuwapiga vizinga?