Ahadi ni deni

Ahadi ni deni

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
863
Reaction score
409
Kweli ahadi ni deni.
Inaelezwa kijana wa kiume alipotaka kuoa msicha anayempenda,baba wa kijana akakataa. Na walipojaribu kumbembeleza baba ikashindikana.
Hiki ndicho kilichofuatia.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371992282599.jpg
    uploadfromtaptalk1371992282599.jpg
    11.4 KB · Views: 292
Ni watu wajinga pekee ndio wanaweza kufanya hivyo...haya tuone kama wataoana huko walipoenda!!!
 
wapuuzi tu hao kwanini wasiondoke zao au walikuwa hawana hela nini poor them kuwa na ufinyu wa kufikiria ndio hivi..
 
Kidogo naweza kuona real love still ina exist! Nilijua real love iko museum au kwenye movie!
 
Kuzaa ni karata tatu!
Ila malezi ni upatu. Hawa wamelelewa kwenye kila wanachowish wanapatiwa. Mzee mkoloni kama wa kwangu akikukatalia kitu unakuwa mpolee.
 
Kidogo naweza kuona real love still ina exist! Nilijua real love iko museum au kwenye movie!

hiyo ndo real love!!!!!!!!!!!!!!!!

Real love ingebidi wa fight for their love here on earth
na sio kujiua...........
thats what we call Stupidity
 
Back
Top Bottom