Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,619
- 11,629
Zisikilize kwa makini ahadi hizi ambazo ni sehemu ya ilani ya sisiemu, kisha tuchambue kama wametekeleza kwa usahihi kile walichoahidi ama la. Audio hizi ni sehemu ya CD nzima ya nyimbo za kampeni za CCM za mwaka 2005, zikishirikisha wanamuziki mbali mbali kama vile Mwana FA, Vicky Kamata, Bushoke ,Ngwea na wengineo.
Idimi
Idimi