Watchtower
Member
- Sep 18, 2022
- 93
- 182
Mimi sio mtumishi ila kuna watumishi kama wawili nimeona wana Complain watu wa Karibu yanguWewe ni Mtumishi? Wenyewe wamekalamika?
Kuna muongozo walitoa ajili ya makundi yatakayopata nyongeza hiyoMimi sio mtumishi ila kuna watumishi kama wawili nimeona wana Complain watu wa Karibu yangu
Sasa inakuuma nini? Acha longolongo wewe ni mtumishi ndo maana unakuja na povu!Mimi sio mtumishi ila kuna watumishi kama wawili nimeona wana Complain watu wa Karibu yangu
Ni mwalimu huyo achana naye anakazana kulalamika badala ya kutafuta source nyingine ya incomeSasa inakuuma nini? Acha longolongo wewe ni mtumishi ndo maana unakuja na povu!
Hii chai,iyo 340,000/= haijakatwa?😂😂🤣mimi ni mtumishi, nilikuwa nalipwa takehome ya Tsh. 1,550,000/=, ila mshahara wa mwezi huu nimeongezewa laki 3 na elfu 40, kwaiyo mshahara wa mwezi huu nimepokea Tsh. 1,890,000/= kama takehome.
sijakulazimisha uamini mkuu, nimeelezea uhalisiaHii chai,iyo 340,000/= haijakatwa?😂😂🤣
kuficha uongo si jambo dogo mwalimuMimi sio mtumishi ila kuna watumishi kama wawili nimeona wana Complain watu wa Karibu yangu
Wee muongo! Yaani uongezewe 340,000 alafu nzimanzima iongezeke kwenye take home bila kukatwa kodi? Acha fix mbele ya watu wenye akilimimi ni mtumishi, nilikuwa nalipwa takehome ya Tsh. 1,550,000/=, ila mshahara wa mwezi huu nimeongezewa laki 3 na elfu 40, kwaiyo mshahara wa mwezi huu nimepokea Tsh. 1,890,000/= kama takehome.
sijakulazimisha kuamini nduguWee muongo! Yaani uongezewe 340,000 alafu nzimanzima iongezeke kwenye take home bila kukatwa kodi? Acha fix mbele ya watu wenye akili
Kama hujaridhika njoo tubet huku .kilimo cha msimu wa kutegemea mvua ila soko serikali ndiyo inacontol ikiamua kufunga mipaka mtauza bei ya hasara na kulazimisha ufilisiwa pale boda.Wakuu,
Nimefikiria sana juu ya ndugu zetu watumishi kupewa Ahadi hewa huu ukiwa mwaka wa Pili kwenye Kila Mei Mosi bila utekelezaji. Kwa ufahamu wangu Kauli ya Rais ni sheria tayari. Je, hiki kinachoendelea dhidi ya Ongezeko la mishahara ni Hujuma juu ya Mkuu wa Nchi au ni nini?
Mana mwezi wa saba walisema walishindwa Kuongeza wanafanya reconciliation ila wata add up mwezi wa Nane tena ikiwa na areas za mwezi wa saba, sasa surprised ni kuwa kuna waliongezewa 4k na wengine hakuna Changes zozote, Ina maana watendaji wa chini wana mgombanisha Mkuu wa Nchi na watumishi wake au?
Kama hatuwezi kuongeza kwanini tusiache tu kutoa ahadi kwenye majukwaa au kuwa black and white kama enzi za Magu kuliko hizi ahadi ambazo hazitekelezeki?
Wakuu,

Hata salary slip haujui inafananaje.sijakulazimisha uamini mkuu, nimeelezea uhalisia