Watchtower
Member
- Sep 18, 2022
- 93
- 182
Wakuu,
Nimefikiria sana juu ya ndugu zetu watumishi kupewa Ahadi hewa huu ukiwa mwaka wa Pili kwenye Kila Mei Mosi bila utekelezaji. Kwa ufahamu wangu Kauli ya Rais ni sheria tayari. Je, hiki kinachoendelea dhidi ya Ongezeko la mishahara ni Hujuma juu ya Mkuu wa Nchi au ni nini?
Mana mwezi wa saba walisema walishindwa Kuongeza wanafanya reconciliation ila wata add up mwezi wa Nane tena ikiwa na areas za mwezi wa saba, sasa surprised ni kuwa kuna waliongezewa 4k na wengine hakuna Changes zozote, Ina maana watendaji wa chini wana mgombanisha Mkuu wa Nchi na watumishi wake au?
Kama hatuwezi kuongeza kwanini tusiache tu kutoa ahadi kwenye majukwaa au kuwa black and white kama enzi za Magu kuliko hizi ahadi ambazo hazitekelezeki?