Ahaaaa!! Mrema ndio mafuriko hayo ?

Unafikiii huyo mzee anaga muda wa kukusanya miwatu yeye kampen zake ni kitongoji kwa kitongojii mwacheni baby wa vunjo....
 
huyu naye anasubiri kukataa kusaini matokeo tu
 
Angalau ameambulia hata watu wachache wa kumsikiliza....
 
Keshafulia tokea zamani huyo...
Hapo kuna watu wangapi wa kuhutubiwa kwa mic?
 
Karudi baba mmoja toka safari ya mbali, kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili
watoto wake wakaja ili kumtaka hali, wakataka na kauli iwafae maishani

(hili shairi linauhusu huo mkutano)
 
Karudi baba mmoja toka safari ya mbali, kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili
watoto wake wakaja ili kumtaka hali, wakataka na kauli iwafae maishani

(hili shairi linauhusu huo mkutano)

Hahahaaaaa na hiyo avatar tena ndio nimevunjika mbavu zaidi!
 
Mrema anatia huruma sana! Sijui familia yake hailioni hilo? Kwanini wamuache mzee aaibike?
Ila kama yeye ndio king'ang'anizi basi asubiri mafuriko yamzoe.
 
Aisee hapo ni pale kilabu kwa Ferdinand kabisa
 
huyu mzee ailfanya kazi nzuri hapo zamani , wala rushwa walikua na taabu na majambazi walijuta sana hata tu ulikuwa naweza kutembea popote pila tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…