Ah........Mi ctaki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ah........Mi ctaki

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MwanajamiiOne, Jan 10, 2011.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  CHUO CHA MAFUNZO YA UCHAGA HALISI!! !!


  NAFASI ZA MASOMO

  Chuo maalum kwa ajili ya kutoa ajira za chapchap kimefunguliwa hapa Kiboroloni,
  Chuo Kimesajiliwa na VETA na kina waalimu waliobobea katika nyanja zote

  Chuo kinapokea maombi kwa wanafunzi waliomaliza darasa la saba kwa ajili ya kozi zifuatazo:*
  *1.** **Ulevi Mwezi mmoja;*

  *2.** **Ujambazi Miezi sita;*

  *3.** **Kuchoma mtu kisu Wiki moja;*

  *4.** **Kuchoma nyama kwenye baa Miezi miwili;*

  *5. Kungarisha viatu Wiki tatu (maalum kwa vijana wa Rombo);*

  *6.** **Kuuza duka Miezi mitatu;*

  *7.** Kurekebisha mipaka ya kiwanja cha jirani Miezi minne;*

  *8.** Kupata mume msomi na mwenye wadhifa mkubwa Miaka miwili;*

  *9.** Kufuga ngÂ’ombe Mwaka mmoja;*

  *10.** Kuendesha pick-up Miezi minne;*

  *11.** **Kugombea udiwani Miaka miwili;*

  *12.** **Kuendesha pikipiki za bodaboda na bajaji Wiki sita;*

  *13.** **Kuchakachua mafuta Mwaka mmoja;*

  *14.** **Kupata kazi TRA Miezi mitatu;*

  *15.** **Kukwepa kodi Wiki nane; na

  *16.** jinsi ya kuishi eneo la
  KIMARA Dar es salaam.. Wiki Sita

  *17.** Kukatisha tiketi kwenye magari ya Moshi, Dar na Arusha ni bure;*

  Mwanafunzi lazima awe mchaga wa kuzaliwa pia baba na mama yake wawe wachaga, mwenye elimu ya msingi na asizidi miaka 18
  mwisho wa kupikea maombi ni kabla ya krismasi ya mwaka huu
  Nafasi za malazi zipo

  *Watakaojiandikisha mapema watafundishwa bila malipo,

  Barua kwa anuani hii

  chuo
  box 13334
  Kiboroloni

  Elisaria
  Mkuu wa chuo


   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Afadhali mimi m-Uru kwahiyo sina vigezo!
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Natumai wachaga wote wamekwishachelewa maombi ya kujiunga na chuo hicho
   
 4. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 135
  Sasa kiboroloni wote si wana vyeti tayari! Kingefunguliwa somewhere else... heheh:smile-big:
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Du!!
   
 6. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mh! Kama ingekuwa hvyo bas kaz ingekuwepo kwa polisi na mahakama
   
Loading...