Agronomists needed

L'AMOUR

Senior Member
Mar 8, 2011
110
24
Tafadhali wenye shahada ya agronomy ninaomba mnitumie majina na mawasiliano yenu ya simu ili kujadiliana nafasi za ajira. Pia kama kuna mtu kasoma fani hiyo tafadhali nipe number na mawasiliano yake.
 
Ebwana nimepata sms yako ya kuhitaji agronomist,me nimmoja wao no yangu ni 0762009367 au 0713734303.Napatikana morogoro kwa sasa
 
Mkuu mi ninayo na nimeongezea na nondoz ya master ya soil na sina job kwa sasa vipi naweza faa?.
Kwa sasa nipo mbali kidogo ila napatikana kwa hii No. +32488152485
 
Sawa wakuu nimechukua namba zanu na unaweza kuni PM na majina kwani ni issue za ukweli hata kama una ndugu yako nijulishe pia itamsaidia nae.
 
Tafadhali wenye shahada ya agronomy ninaomba mnitumie majina na mawasiliano yenu ya simu ili kujadiliana nafasi za ajira. Pia kama kuna mtu kasoma fani hiyo tafadhali nipe number na mawasiliano yake.
Asante Mkuu , MOB. YANGU NI 0715013355, au 0752603025 NINA Master ya kozi hiyo.
 
Ebwana nimepata sms yako ya kuhitaji agronomist,me nimmoja wao no yangu ni 0762009367 au 0713734303.Napatikana morogoro kwa sasa

mhhh wewe wa SUA eeeh ..poleni bana nasikia Dr.Msumali mzee wa soil microbiology kavuta juzi ....dahhh nakumbuka nondo zake za mambo ya azetobacter
 
Mkuu leo nimeingia jamii forums nakukuta topic yako ya kuhitaji agronomists, mi namaliza shahada yangu mwezi Agost nasoma agriculture general, kwavile kozi nyingi tunainteract na agronomy hata mimi na qualify kuwa agronomist mawasiliano yangu ni 0765987998 au 0782760087. Mkuu tusaidizane maana wengine hatujui hatima ya degree zetu.
 
Wakuu ninaziforward namba zenu bila majina hivyo hivyo ili mkipigiwa mjieleze wenyewe mimi sina hiana nafasi bado zinahitajika nadhani mtanipa feedback hapa jamvini
 
Kwa wale walionipa number nimeambiwa walitafutwa nadhani sio vibaya pia kama mtajulisha na wengine nao wajaribu kwani mungu ndiye mpangaji wa yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom