Hii inaitwa chokaa mazao inatumika kurutubisha udongo na kuongeza uzalishaji.
-mashamba mengi yameathiriwa na tindikali(acidic) inapelekea kutumia gharama nyingi kuhudumia shamba lakin mavuno machache.
-inatumika unavoandaa shamba au unavolima shamba lako kwaajili ya kupanda
-ukitumia chokaa lazma utumie mbolea zingine kama kawaida ila matokeo yake ni kwamba ukishatumia chokaa na ukija kuweka mbolea kama kawaida,mbolea inafanya kazi kwa asilimia kubwa kwenye mmea wako na mwisho unapata mavuno ya kutosha
-inatumika kwenye mazao ya aina yote kasoro mpunga
-inatumika pia kwenye matunda ya aina yote na matokeo yake ni muda mfupi
Kwa maelezo zaidi nimetoa namba ya biashara hapo unaweza kutupigia na tukakuelekeza zaidi