Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,708
- 994
Habari wana jamvi! naomba kufahamu kwa yule aliyesoma diploma ya account, mfano akapata GPA 3.8, je anaweza akachukuliwa SUA au kingine chochote kinacho dahiri kozi hii husika(Agribusiness) wakuu?.Ahsanteh nakaribisha na maoni wakuu.