kingfish JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 571 Reaction score 159 May 8, 2012 #1 WIKI ILIYOPITA NILIPOST THREAD YENYE KICHWA CHA HABARI "KARIBUNI MKOA WA NJOMBE",BAADHI YA MEMBERS WA JF AKINA BULESI NA PrN-kazi WALIOOMBA NILIWALETEE PICHA YA HOTELI YA AGREEMENT NA STAND YA MABASI YA NJOMBE. NAWASILISHA Attachments agreement.jpg 22.9 KB · Views: 527 stand.jpeg 10.8 KB · Views: 654 stand nj.jpg 7.2 KB · Views: 1,068
WIKI ILIYOPITA NILIPOST THREAD YENYE KICHWA CHA HABARI "KARIBUNI MKOA WA NJOMBE",BAADHI YA MEMBERS WA JF AKINA BULESI NA PrN-kazi WALIOOMBA NILIWALETEE PICHA YA HOTELI YA AGREEMENT NA STAND YA MABASI YA NJOMBE. NAWASILISHA
sinafungu JF-Expert Member Joined Feb 13, 2010 Posts 1,527 Reaction score 868 May 9, 2012 #2 kumi ilianza na moja
Ngangasyonga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 455 Reaction score 71 May 9, 2012 #3 Njombe is like UK, by wheather and shibe mingeminge!! I like to live in NJOMBE AKA KUNZOMBE!!
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 May 9, 2012 #4 aisee hiyoo hotel iko njombe duu ni nzuri niaje..
R rubby Senior Member Joined May 18, 2011 Posts 121 Reaction score 13 May 10, 2012 #5 Ndio ya bibi redio?
Asabaya JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 1,310 Reaction score 419 May 10, 2012 #6 Nzuri ivi wanapata wateja kweli?
M Mohamed Ngwasu JF-Expert Member Joined May 11, 2011 Posts 304 Reaction score 79 May 10, 2012 #7 mambo ya biiibiiii hayooooooo
Kiyoya JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,775 Reaction score 994 May 10, 2012 #8 Ni ghari sana kuishi njombe!