Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel


Hali hii hata mimi niliiona. Nilihisi ongezeko la thamani kwenye ardhi na majengo halikuwa halisi. Sasa ukweli unajidhihirisha. Nimeona pia udhaifu mkubwa wa huyu mwekezaji ktk maamuzi yake. Maamuzi yake ktk kuwekeza yalikuwa based on speculation kwa sehemu kubwa.
 
Dah ssa mkuu kma uwekezaji wa majengo ungefeli ssa iwaje kwenye hyo masterplan ya mji serikalo itenge eneo kwa ajili ya investor wa hoteli??? Kma ina target watalii kosa likwapi??? Hivi uwekezaji kwenye housing estates is doomed for disaster??? Kweli mnaona wateja ni wauza unga na mawaziri tu?? Kwani hakuna watalii wanaokuja kwa retreat ukizingatia bagamoyo ni mji wa kitalii ssa wwe badala uone challenge ni nni wwe unaanza kushabikia eti ujenzi ingefeli!!!

Mkuu hoja hapo ni kwamba serikali iliahidi kupaendeleza ssa mtu kashusha hoteli nyie hamjafanya lolote then mnaona kosa ni la mwekezaji???? U r suprising me
 
Kwa hiyo mtu anaejenga hoteli yenye uwezo wa kuajiri mamia ya watu hta kma ni muethiopia au muosha wazee anaitwaje????

Badala ya kujadili hoja mnaanza kujadili mtu!!
 

Tatizo kubwa ninaloliona katika mada hii ni kuungalia uchumi kama vile tupo darasani (ceteris peribus), nikimaanisha: mambo yote mengine yamesimama isipokuwa 'uchumi'. Kitu ambacho hakiwezekani hata siku moja. Uchumi ni usalama wa nchi, uchumi ni uongozi wa nchi, uchumi ni imani, dini na itikadi. Uchumi ni imani katika miamala (bonds), uchumi ni uhuru wa vyombo vya habari, usalama wa raia, uhusiano na nchi jirani na amani kwenye nchi hizo! Na kadhalika na kadhalika... sasa EWGM's unapoongelea government bonds in isolation then I'm lost! Step up to the plate! Lete mada tuongee, vinginevyo inakuwa kama tumekariri madarasa tuliyofundisha semester za kwanza!?

Bila shaka matumizi ya serikali zote duniani makubwa, suala nini cha kufanya, na vipi, ku-usisimua uchumi? Badala yake zimeanza dibaji: oh economic growth and economic sijui-nini
 

Mkuu, mwekezaji pia aliiamini mno serikali ilipotangaza uwekezaji wa bandari Bagamoyo. Hakuwa na sababu ya kuiamini serikali kiasi hicho; serikali yetu haijaanza kudanganya leo kuhusu miradi. Miradi mingapi nchini inaanzishwa halafu haikamiliki. Kuhusu wateja wa utalii, ni dhahiri wasingetosha kumhakikishia faida, ukizingatia ushindani wa hotels zilizopo Bagamoyo. Utalii nchini bado upo juu lakini kumbuka hotels nazo ni nyingi. Naona kama jamaa alitegemea bandari na vikao vya watumishi wa serikali zaidi kuliko share ya wateja wa utalii. Hilo ni kosa la kitaalamu kwa upande wake. He should have known better. It's Tanzania, duh!
 
 
Uchumi wetu sikuhizi unaongozwa na mwanasayansi.. Yaani kila kitu kiko ovyo ovyo tu na wala hakuna anayejali.

Ila concern yangu kubwa ni hivi ni Dr. Mpango ndiye anashauri haya??
 


Mkuu nimekuelewa sasa ni kweli kwa system wanayotumia serikali wanakamua mzunguko wa fedha to the maximum sababu pesa hairudi mtaani na kama inarudi inarudi kwa kiasi kidogo sana.

Ila ndiyo hivyo lazima tukubali raisi wetu si mchumi na hashauriki. Kwaushauri wangu mtu kama ana pesa yake ni afadhali aiweke kwenye fixed serving account kuliko hizo bonds sababu hii serikali imekosa kabisa uaminifu.
 

Miafrika bwana chuki na uhasidi ndio maana tumepewa ngzoi nyeusi na roho zetu nyeusi....sasa huu jamaa kama kachota hela huko katuletea hapa na ku create ajira ya watanzania.....Vikings wanasifiwa kwa vile waliiba mali nchi za watu nakupeleka kwao na waingereza waliopeleka rasilimali zetu nying kwao walipewa cheo cha Lord au Sir.......

awe ameosha vyoo au vinginevyo ni bora yeye ambaye jasho lake na akili zake ka invest TZ kuliko nyie baba zenu ambao aidha watumishi wa serikali au umma wanaiba hizi fedha zetu za walipa kodi na wakawepeleka nyie kusoma nje ndo mnakuja hapa kusema ovyo....wewe umefanya nini kwa nchi yajo jiulize.... damn
 
Kuna pahala nilisoma hapa jF kuwa majengo ya serikali hapa DSM thamani yake ni takribani 80 trillion. Sasa hebu fikiri una acha hiyo fedha yote iliyo wekezwa kwa kufuata ukatikati wa pahala zama hizi za sayansi na teknologia. Tena huo ukatikati unahitaji kutumia fedha nyingine katika uwekezaji huohuo ambao ulishaufanya awali. Eti serikali sasa ina brain storm kutafuta fedha za kujenga ofisi ya wizara ya ardhi au maliasi! Haya bwana muda ndio utakao tuamulia mbivu na mbichi tuwe na subira.



Na washawasha!



 


I like your arguement; ni kweli uamuzi wowote makini ni lazima uangalie wakati gani unatekelezwa; point yako kuwa ile arguemnt ya centrality ya Dodoma kuwa ndio iwe kigezo cha kuhamia Dodoma kwa serikali kuu ili kuwafikia wananchi kwa haraka zaidi ilikuwa valid wakati wa Nyerere, kwani sayansi na technolojia ya wakati ule haikuweza kukidhi mahitaji ya mawasiliano ya haraka ukilinganisha na leo hii!!

Haya ndio mambo yanayotakiwa wananchi wote kuyajadili na Jpm na serikali yake sio kufanya mambo tu ili mradi yamo ndani ya ilani ya chama tawala!! Ni vizuri kuangalia the big picture kuona kama uwekezaji utakaofanyika huko Dodoma una faida kwa nchi. Inawezekana kabisa kuwa mawazo ya mwalimu yalikuwa relevant wakati ule na sio leo , hivyo maamuzi ya chama tawala ya zamani ni lazima yaangaliwe kwa macho ya leo kabla ya kuyatekeleza ili yawe na tija!
 

You are a fool, an idiot to boot. Sababu tu mshkaji wako ameiba then tuna hisani naye kumtetea! What a wanker!?
 
Hili ni tatizo kubwa, hiyo plan ya mji wa bagamoyo isipotekelezwa wawekezaji wengi watazika mitaji. Hata kivuko chenyewe kilichosifiwa sana wakati wa kutangaza tenda yake tusha wakabidhi wajeshi.
 
Tax avoidance is a perfectly legal thing to do..there is nothing wrong with it. I believe you were referring to tax evasion which is illegal and just plain wrong
 
i think this is an issue of taking too much risk. in a developing country, political instability is a big factor and small sway of policy or change of administration can have huge impact in the direction of the economy and flactuations;

Mr. Slim should not blame the government, i think he took a huge risk - when you are in debt, the bank can sell your property at ANY price; you can move from having £400K to -£20K in as short as 3 years; I dont know Mr Slims background in financial dealings but this sounds like a novice error; Gov cannot be blamed for not keeping its promises, Gov will always do whats important for the majority and if that direction doesnt favour few people so be it;



 
Umeongea ukweli mchungu. Ila wachangiaji wengi hapa wataanza mlaumu Raisi kwa kuwazingua wawekezaji. Huyu mwekezaji ni sawa na wawekezaji wengi mchwara waliokuwa wanawekeza kwenye mahoteli na apartments ya bei mbaya, walikuwa hawawalengi waTZ wa hali ya kawaida, zaidi walikuwa wanawalenga serikali na wageni. Sasa kibao kimegeuka, JPM anarekebisha makosa yaliyofanyika, sasa anapata alichopanda. Pole sana Mr Slim, uamuzi wako wa kurudi nyumbani ni sahihi, ila kuwekeza kwenye luxurious building bila kufanya proper feasibility study na kutumia akili ndogo tu kuelewa kwamba ujinga wa awamu ya 4 usingeendelea ndo umekufikisha hapo. Ungekuwa mjanja ungelenga middle to low class, sasa hivi ungekuwa unakula kuku tu. Hii ndo Bongo bwana, inabidi ujiongeze ili kutoboa. Ujanja ujanja umeisha awamu ya 4.
 
Hahahahaha. Mkuu umeniua na kicheko. Kapiga sana box sio? hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…