edu88
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 692
- 515
Bro Uko vizuri sana na nakubali sana ur views maana unajua unachosema. Tatizo hii issue hapa wengi wanaichukulia kama nafasi ya kumvaa Raisi na serikali yake. Hawaangalii tatizo hasa liko wapi. Huyu mtu, I suspect, alifanya investment kwa kujiaminisha kwamba ujinga wa awamu ya4 utaendelea. Hakufanya proper feasibility. Sasa anakuja na valuation ya kichaa. 5b Bagamoyo? Yaani natamani kucheka mpaka basi. Exim bank ni losers, kupata mtu wa kununua hizo sijui watamtoa wapi na akikaa na kufanya analysis ya return on investment, lazima akimbie. Asante sana Raisi kwa kuintervene kurekebisha hii ishu.Hotel imekuwa auctioned 2 times aijapata mnunuzi halafu bado mtu kwenye kichwa chake anadhani it is worth 5bn under the current market environment.
Katika vitu ambavyo Magufuli kapatia it is this one kuondoa artificial circulation of money na kuacha actual market forces zifanye kazi based on the real purchasing power.
Sio hotel yake tu ndio imedoda viwanja vinashuka bei, rent zinapungua au wapangaji wanaama waliokuwa wamejiweka kwenye majengo kushinda kipato chao.
Somo ni wengi walikuwa awaishi na hela halali matekeo yake bei za bidhaa na huduma zilikuwa zinapanda ovyo, investment ambazo azifanyi tathmini etc. Uwezi kujenga uchumi stable katika mazingira hayo ufisadi ulikuwa ni bubble lazima lipasuliwe kurekebisha uchumi na kujua tulipo. Hakuna tofauti na kuanguka kwa uchumi wa housing sector marekani benki ilikuwa inatoa pesa kirahisi sana bila ya watu kuwa na uwezo wa kulipa nyumba zikapanda bei lilipolipuka watu wakajikuta value za nyumba zao zinashuka, tofauti hapa hela badala ya kutoka benki ilikuwa ya ufisadi ina fund huu uchumi usio sahihi.
Safi sana Magu tatizo lako Dr. Mpango tu jamaa ni jipu.