GE2025 Agnes Marwa: Samia sio tapeli tumethibitisha hilo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
"Nasimama mbele yenu ndugu zangu kwa heshima na taadhima naombeni kura zenu zote kwa Mama yetu Samia Suluhu Hassan, ni mwanamke aliyetuheshimisha wanawake. Mama Samia sio fisadi, Mama Samia sio mwizi na ndio maana wanawake wa Mkoa wa Mara tunathubutu kusema mitano tena inakustahili Mama.

..... Tulikwenda wanawake kutoka kila Kata za Mkoa wa Mara nyumbani kwa Mama Samia anapoishi yeye na Mama yake mzazi. Tulikwenda kuangalia, na wanawake wa kila Kata za Mkoa wa Mara ni mashuhuda Mama, walidhani watakutana na maghorofa, wanawake wakakuta nyumba anayoishi Mama yako mzazi, Mhe. Mwenyekiti wetu ni kama nyumba anayoishi Mama yangu mimi, Muuza dagaa."- Agnes Marwa, Mbunge mteule wa viti Maalum Mkoa wa Mara, akizungumza kwenye Kampeni za Dkt. Samia Suluhu Hassan Musoma Mjini leo Oktoba 09, 2025.
 
20251009_145515.jpg
 
Hawa ndio watu Polisi na CCM wanataka waendelee kuishi.
Naanza kuelewa zili Project za NASA za kupunguza Taka watu duniani.
 
"Nasimama mbele yenu ndugu zangu kwa heshima na taadhima naombeni kura zenu zote kwa Mama yetu Samia Suluhu Hassan, ni mwanamke aliyetuheshimisha wanawake. Mama Samia sio fisadi, Mama Samia sio mwizi na ndio maana wanawake wa Mkoa wa Mara tunathubutu kusema mitano tena inakustahili Mama.

..... Tulikwenda wanawake kutoka kila Kata za Mkoa wa Mara nyumbani kwa Mama Samia anapoishi yeye na Mama yake mzazi. Tulikwenda kuangalia, na wanawake wa kila Kata za Mkoa wa Mara ni mashuhuda Mama, walidhani watakutana na maghorofa, wanawake wakakuta nyumba anayoishi Mama yako mzazi, Mhe. Mwenyekiti wetu ni kama nyumba anayoishi Mama yangu mimi, Muuza dagaa."- Agnes Marwa, Mbunge mteule wa viti Maalum Mkoa wa Mara, akizungumza kwenye Kampeni za Dkt. Samia Suluhu Hassan Musoma Mjini leo Oktoba 09, 2025.
Uchawa kwenye nchi utaendelea kutukwamisha kila siku ya Mungu!
 
Wanajisumbua bure.
 
Kwahiyo kipimo mlichotumia nyie mnataka kiwe kipimo cha Watanzania,tena watanzania Wazalendo sio?Basi poleni sana!
 
Sio vizuri kuingiza watu majaribuni unataka ujibiwe vibaya au utukanwe Ili tugawane Hizo dhambi zenu
 
Back
Top Bottom