King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,809
- 68,937
Doh,kuna moja kapiga na mtoto wa ilala sikusei anaitwa sumarider nyimbo inambwa"you my lady njoo kwangu njoo udance na mi hooh," humu masogange bado mbishi kabisa,R.I.P Aggy.
Mbona Hapo Msambwanda alikuwa hana? Au Alikuwa hajayapimp na SILICON?