Agizo la serikali lizingatiwe

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,046
Serikali ya awamu ya tano imetoa agizo kwa waajiri wote asa sekta binafsi kufuata sheria na taratibu za kazi. Sekta binafsi mfano viwanda na mashule wamekua wakiukaji sana wa sheria hizi. Mfano kuwapa kipaumbele wageni kwenye nafasi za ajira kuliko wazawa,kuwafanyisha kazi watu bila mikataba,bila nssf , bila vibali vya kazi na makazi au kukaa bila kibali nchini,unyanyasaji wa wafanyakazi,kukwepa kodi halali ili linafanyika kwa kuwalipia mshahara dirishani na si kupitia benki .Wapo wengi ambao wanafanya hivyo na tunawafaham kabisa wasipo fuata hizo taratibu nitaweka majina hao hadharani na maafisa wa serikali wanao shirikiana nao kufanya hivyo kwa kupokea rushwa. Waujum uchumi hao ?ta maji na umeme wanaichezea serikali.Wanajamvi hapa itabidi tofauti zetu za kisiasa zikae pembeni ili tufanye kwa maslai mapana ya taifa.
 
Back
Top Bottom