Vijana wameshindwa kuelewa haya mamboSio kwel kwenye nchi inayoongozwa na sheria na katiba inayojielewa.
Mambo hayo ni katka tawala za kifalme.
Katika nchi za utawala wa kisheria Rais anapingwa, anaweza shtakiwa na kufungwa kama raia yeyote
Unafikiri hawaelewi mkuu? Hawa ndio wanufaika wenyewe ndio maana wanajaribu ku justify upumbvu huu waone tuna react vipi.?
Nchi gani Rais wake akiwa madarakani alishtakiwa na kufungwa? Moja!Sio kwel kwenye nchi inayoongozwa na sheria na katiba inayojielewa.
Mambo hayo ni katka tawala za kifalme.
Katika nchi za utawala wa kisheria Rais anapingwa, anaweza shtakiwa na kufungwa kama raia yeyote
Sisi hatuna laana tuna miss use of resourceKufanya kazi halmashauri ni laana
Hayo ni maneno ya jukwaani ila kiuhalisia na inavyopaswa kuwa neno la rais si sheria.Juzi Mhe. Rais akiwaapisha Wateule wake alikemea sana wizi unaofanyika Serikalini na baadaye akasema kuwa kuanzia sasa Halmashauri zitapewa fedha kutoka Serikalini kutokana na makusanyo yake.
Mfano kama halmashauri itakusanya 50% basi Serikali itawapa pia 50%.. Agizo la Mhe. Rais ni amri lakini kwa ukweli uanzishwaji wa baadhi za Halmashauri hazikufuata vigezo na hivyo kupelekea kuwa na makusanyo madogo sana.
Tuchukue mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda ambapo ilimegwa na kuanzishwa Halmashauri ya Mji wa Bunda na kupelekea mapato yake kupungua kwa kasi kubwa. Pato kubwa la Halmashauri ya Bunda ni samaki.
Kusema ukweli samaki katika Ziwa Victoria ni kama wamekwisha kabisa na hivyo Halmashauri ya Bunda ni mojawapo ya Halmashauri maskini katika nchi hii na hivyo tunamwomba Mhe. Rais kuwa utafiti wa agizo hili ufanyike kwanza ili kufikia uamuzi wa agizo alilolitoa.
Halmashauri kama Bunda, Rorya, Bumbuli n.k. zitaathirika sana. Mwisho, kuanzia sasa uanzishwaji wa Halmashauri ufuate vigezo vinavyotakiwa na siyo kwa tamaa za wachache kupata ubunge.
Si walisema jimbo likiwa na mwanaccm kitapelekewa miradi ua maendeleo?Kusema ukweli samaki katika Ziwa Victoria ni kama wamekwisha kabisa na hivyo Halmashauri ya Bunda ni mojawapo ya Halmashauri maskini katika nchi hii na hivyo tunamwomba Mhe. Rais kuwa utafiti wa agizo hili ufanyike kwanza ili kufikia uamuzi wa agizo alilolitoa.
Hahaa
TUmia akili zako japo kidogo bas, usijivue nguo bwana mdogoNchi gani Rais wake akiwa madarakani alishtakiwa na kufungwa? Moja!
Samaki wanaishaje wakati kuna maafisa uvuvi wanafanya nini ofcn kwanini wasije na njia za kuhakikisha samaki hawapungui kwa kupandikiza mbegu kwa wingi na kufanya bunda kuwa kitovu ununuzi wa sato na sangara..Kusema ukweli samaki katika Ziwa Victoria ni kama wamekwisha kabisa na hivyo Halmashauri ya Bunda ni mojawapo ya Halmashauri maskini katika nchi hii na hivyo tunamwomba Mhe. Rais kuwa utafiti wa agizo hili ufanyike kwanza ili kufikia uamuzi wa agizo alilolitoa.
Ndiyo laana yenyewe hiyoSisi hatuna laana tuna miss use of resource
sasa si ukaishi huko ili uinjoy maishaSio kwel kwenye nchi inayoongozwa na sheria na katiba inayojielewa.
Mambo hayo ni katka tawala za kifalme.
Katika nchi za utawala wa kisheria Rais anapingwa, anaweza shtakiwa na kufungwa kama raia yeyote
Nitaish hapa hapa tu nimeshazoea mbwa kama nyiesasa si ukaishi huko ili uinjoy maisha