Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu ya kile CHADEMA wanataka kukifanya na madhara yatakayotokea kwa viongoz wa chama, vijana pamoja na chama. Ni bora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuia jambo la kijinga CHADEMA wanataka kufanya.
Ni bora kila mtu ajue kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa na kushauri na mwisho kumpa neno la kusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matamu ilo nawapa poleni.
Nilazima sote tujue kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Rais ameshasema hakuna maandamano na wewe ukaandamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru. Watu wananukuu katiba vibaya nakukariri vibaya, ukienda kwenye madaraka na kinga ya rais unaweza kujua kile namanisha kwa vizuri zaidi. Tuache kusoma upande mmoja wa karatasi wa katiba na tusome pande zote mbili za Karatasi ili wananchi wapate kujua kile upinzani wanasema maana kile kinafanyika sasa nikuwahadaa wananchi na kuleta shida mbeleni. Ndio maana Rais wetu mpendwa akasema viongozi wa UKUTA wakae mbele na wasiwahadae masikini kukaa mbele wakati wakijua sheria itawaumiza.
Nilazima tujue kunavimelea vya uasi ndani ya taifa hili na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa wala kinga jambo litazaa taifa lenye uasi mkubwa huko mbeleni. Uasi huzaa watoto waasi mpaka vitukuu viasi mbegu kama hizi sio za kuziruhusu katika taifa letu la Tz.
Mtu muasi sio wa kucheka naye wala kushikana mkono naye au hata kula nae, saa yeyote atakugeuka, ni vema kufahamu taifa hili linatutegemea sisi vijana. Yale yanatokea sasa sio siasa safi na wala hakuna kiongozi yeyote mwenye mapenzi mema na taifa lake atakubali mchwa huyu kula mazao yake hizi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia au mtu anamuita rais aliyechaguliwa kwa mujibu wa sheria na katiba yetu eti dikteta na anapewa air time.
Baba wa uasi ndani ya taifa hili tunamjua walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.
Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmegeuka kumuita dikteta. Nadhani CHADEMA wanafikiri ili taifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mimi ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajua rais ni dikteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.
Shime Rais wangu Magufuli walizoea sana.