Agizo la Magufuli kupunguza mishahara linakiuka sheria za ajira na sheria za mikataba

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Agizo hill linakiika sheria za ajira zinazozuia mtumishi kupunguziwa mshahara,sasa sijui magufuli katumia kifungu gani cha sheria,akinukuu ili tujiridhishe,kwa kuwa hakipo,pia ni kukiuka sheria za mikataba kati ya mwajiri na mwajiriwa,ni kinyume cha sheria kukiuka MKATABA wako na muajiriwa
 
wewe vipi, mbona unalialia ovyo. mshahara gani kama sio wizi. watu wanajipangia mishahara mikubwa ajabu na bado wanapiga dili hadi shirika/taasisi inakua kama mali yao huku serikali ndio muwekezaji. rais kashasema na inatekelezwa wewe kaaga tu kalakabao. kama ni jipu kaa mkao wa kutumbuliwa.
 
Agizo hill linakiika sheria za ajira zinazozuia mtumishi kupunguziwa mshahara,sasa sijui magufuli katumia kifungu gani cha sheria,akinukuu ili tujiridhishe,kwa kuwa hakipo,pia ni kukiuka sheria za mikataba kati ya mwajiri na mwajiriwa,ni kinyume cha sheria kukiuka MKATABA wako na muajiriwa
Yaan bodi ya wakurugenzi wanaokaa na kujipangia mishahara ndio unakuja hapa kubania pua eti "Magufuli anakiuka mkataba wa ajira" wewe ni mnufaika na hiyo mishahara minono eeh? utaisoma namba mwaka huu
 
Agizo hill linakiika sheria za ajira zinazozuia mtumishi kupunguziwa mshahara,sasa sijui magufuli katumia kifungu gani cha sheria,akinukuu ili tujiridhishe,kwa kuwa hakipo,pia ni kukiuka sheria za mikataba kati ya mwajiri na mwajiriwa,ni kinyume cha sheria kukiuka MKATABA wako na muajiriwa
Rais amesema atapunguza kiwango cha mshahara...kuondoa gap kati ya wafanyakazi....hajazungumzia atawaondoa kwa njia gani..ni hakika lazima watafuata sheria na taratibu za nchi
 
Mwaka huu hakuna ongezeko la mishahara hata ile annual increment: kama kweli Magufuli umedanganywa. Watumishi watakubali lakini si Polisi, Mahakama wala Takukuru watafanya kazi unayotegemea Kwa mishahara ya sasa bila wizi na rushwa
 
Mishahara ikishushwa itakuwa ukiukwaji mkubwa wa taratibu
 
Kupunguza mshahara sijaona km magufuli amekeuka , ni sawa kwa upande wangu kwa vile kuna watu wanafanya kazi kubwa mshahara mdogo wakati elimu sawa au ukuzi elimu kubwa mshahara mdogo na mwenye elimu ndogo mshahara mkubwa other factors remain constant, lkn mm naona hili swala ndio litasababisha kuongezeka zaidi kwa rushwa sijui tutalikwepaje rushwa kwa kupunguza mshahara .... Ni maoni tu.
 
Back
Top Bottom