nicholas john
Member
- Jun 13, 2012
- 27
- 0
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara najishughulisha na uagizaji wa magari kutoka Japan na ndio lengo la kutuma post hii ili kuweza kukutana na wateja wangu pia.Nachofanya ni kwamba tunakubaliana na mteja kuhusu gari anayohitaji kisha naingia kwenye website na kulitafuta gari hilo kwa price ambayo mteja ametaka na specification zingine,baada ya hapo kuhusu kuagiza na mengineyo ananiachia mimi na baada ya kama mwezi mmoja hilo gari litakuwa limefika na mteja atakuwa akijulishwa kwa maendeleo yote ya ununuzi wa gari hadi kufika kwake hapa.Kwa yeyote anayehitaji kufahamu zaidi au kuagiziwa gari please asisite kunipm au awasiliane nami kupitia namba 0719974886.Mimi napatikana Kigamboni Dar es salaam,Asanteni.
Nimekuwa nikipigiwa simu na kuulizwa suala la usalama wa hela na uhakika wa jambo lenyewe,ningependa kuwajulisha kuwa kabla hujatoa hela yako ni lazima tuonane na nikupeleke kwenye ofisi ya mwanasheria aliyesajiliwa iliyopo posta ambapo hapo utaelezwa process zote kisha utaamua mwenyewe uingie mkataba nami ili nikuagizie gari kwa dhamana ya ofisi hiyo na nimefanya hivyo makusudi ili kuweka usalama baina yangu na mteja wangu .Magari yanapatikana tena kwa bei rahisi na unaweza kuokoa shilingi milioni 2 hadi tano kwa kuagiza kuliko kununua kwenye yard,kwa kuthibitisha hilo ulizia bei ya gari utakalo kwenye yard kisha nitumie msg kwa namba yangu hapo juu au nipigie simu nikujulishe naweza kukuletea hilo gari kwa shilingi ngapi.Mfano waweza kupata TOYOTA Alteza kwa mil.10.5 badala ya mil.12 yard,au Toyota caldina kwa mil.10 badala ya 11.5 yard,au Toyota landcruiser prado ya mwaka 1995 kwa sh.mil.21 badala ya mil.25 yard.Na mengine mengi tu kwa bei rahisi