Agiza chochote toka Russia na Ukraine

Agiza chochote toka Russia na Ukraine

Ndio maana nimesema si rahisi kuingiza silaha, sijasema haiwezekani sio rahisi kama kuingiza bidhaa nyingine.
Kweli mm mshamba wewe wa mjini.!

Nimekushangaa kuanza kuniambia sijui nunua bongo, sijui mil 4 unaona nying. Wewe umeleta uzi unaambiwa ununue unawanga watu maana yake nini
 
Nimekushangaa kuanza kuniambia sijui nunua bongo, sijui mil 4 unaona nying. Wewe umeleta uzi unaambiwa ununue unawanga watu maana yake nini
Nisamehe bure kiongozi!
Silaha sina uwezo wa kudeliver TZ kwa urahisi.
 
Nataka Vodka Moja matata sana yaan shoka moja Mbuyu chini
 
Back
Top Bottom