nimekupata mkuu.Kuna kijana umu ameharibu sana biashara za watu yeye ilikua agiza bidhaa toka Ulaya basi kilichotokea watu hawana hamu,inabidi utulie sana kurudisha imani ya watu nikutakie kila la heri.
K. IsayaKuna kijana umu ameharibu sana biashara za watu yeye ilikua agiza bidhaa toka Ulaya basi kilichotokea watu hawana hamu,inabidi utulie sana kurudisha imani ya watu nikutakie kila la heri.