Agi Masogange


Napenda mwanamke ambae atakuwa opposite na nilichokiandika
 
Napenda mwanamke ambae atakuwa opposite na nilichokiandika

Nikisoma ulichokiandika naona kama umewakataa wote!

To be positive, orodhesha kwamba nampenda mwanamke wa hivi, hivi, hivi na hivi.
 
Mh njoo huku kuna mtu anastaili udc!vijana wako wanamponda heti hafai,WANAJIFANYA VIPOFU WAKAT MPAKA MIWANI UMEWAPA
 
Lazima atakua anajisikia mrembo kweli kweli maana picha zake zinajadiliwa mpaka jamii forums
 
Lazima atakua anajisikia mrembo kweli kweli maana picha zake zinajadiliwa mpaka jamii forums

Jamii forums ni watu hawa hawa walioko mtaani, hawana uspesho wowote!
 
uzur upo kwa ndan kwa nje wanatuongopea tu!
ukitaka kuprove hata k nazo zipo tofauti sana kuna nzur kimuonekano na mbaya pia...

orginaly, UZURI UPO KWA NDANI KWA NJE MBONI ZA MACHO ZNATUDANGANYA SANA NA KILA MTU ANA HISIA TOFAUT.

Flat screen msikose aman, mi penda sana mamiss.
 
Lina sura ya kizeeee!!!

Ha ha ha! Enzi za utoto tulikuwa na wimbo tunaimba

"Kosa sura upate zegembe a.k.a wowowo".

Maana yake sura imepewa kipaumbele, wowowo ni next.
 
Mnawapandisha watu vyeo bure tu... Sidhani kama Hii no mada nzur, ya msingi, muhim n yenye kupanua watu maarifa. Kama ni warembo mtaan kwangu Huyu top 10 haingii. Samahan lakn.
 
Watz banaaaaa mnatafutaga kasoroo tu embu mpen sifa yake alaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…