Itakuwa unamfahamu sana kwa aya tu ya mwishoMiaka zadi ya 65 wa nini?
Kafanya ubunge, ukuu wa mkoa na uwaziri kaleta nini?
Akiwa Tamisemi na sagi wake walikuwa wanauza ukuu wa idara kwa sh ngp?
Wewe ulinunua kwa shilingi ngapi?Miaka zadi ya 65 wa nini?
Kafanya ubunge, ukuu wa mkoa na uwaziri kaleta nini?
Akiwa Tamisemi na sagi wake walikuwa wanauza ukuu wa idara kwa sh ngp?
Aggrey Mwanri hana lolote zaidi ya UROPOKAJI na Komedi za kwenye TV. Kiukweli SIYO MTENFAJI ndiyo maana silaha yake kubwa ya kuonwa na mabosi wake ni KELELE tu.Kila mtanzania anamkubali Agrey Mwanri kuwa ni jembe na mchapa kazi.
Anajua kuongoza, anajua kuwajibika.
Bado ana nafasi ya kuwa balozi.Umeuliza swali nililojiuliza sana mpaka nikadhani labda vibwagizo vyake vimemponza badala ya kumjenga.
Liwalooo naliwee
Sukuma ndani
Injinia Soma hiyooo
Na Makonda ni nani Fyekeo eti?
Kila mtanzania anamkubali Agrey Mwanri kuwa ni jembe na mchapa kazi. Anajua kuongoza, anajua kuwajibika.
Lakini kwanini kiongozi kama huyu hakupata uteuzi ili aweke mambo sawa kwa manufaa ya umma? Je, kuna tatizo kwa washauri wa rais JPM?
Mbona tuna ona watu ambao uwezo wao wa kuongoza ni mdogo na wanaingia kwenye Cabinet?
Hao wanaomshauri Rais wanakula pesa za bure za walipa kodi? Kwanini mtu kama Mwanri awe benchi, halafu watafuta kick za kwenye Tv ndio wanakula uteuzi?
Acha chuki binafsiAggrey Mwanri hana lolote zaidi ya UROPOKAJI na Komedi za kwenye TV. Kiukweli SIYO MTENFAJI ndiyo maana silaha yake kubwa ya kuonwa na mabosi wake ni KELELE tu.
Mwanri ni mzalendo wa kwrli, na ana hofu ya Mungu. Issue kubwa ni kwamba sio wa Kanda ya Jiwe..