Ian_
Member
- Dec 1, 2019
- 7
- 6
Habari za kutwa wana Jf, yawezekana wewe Kama watu wengine wengi umekuwa ukitazama Hollywood movies za agents mbalimbali wa CIA, na ulivutiwa na uwezo wao wa kufikiri kutenda na ku "imagine" ,ukuiishia hapo Kila unapokaa kwenye kijiwe(Nina Imani baada ya kazi) pale ambapo mada kuhusu uwezo wa kiintelejensia za ughaibuni, umekuwa kinara wa kusema "weee marekani watu wabaya,wanaweza waka 'calculate' hadi speed ya mharifu" .Si wewe tu hata mini nimezisikia na mwisho nikazipuuzia..
#Sababu ya kuzipuuzia
Kwa nchi za ughaibuni especially U.S, mashirika ya kijasusi yanafanya kazi bila kuingiliwa na siasa, mahaba yaliyopitiliza na political infatuation.
Ni kwamba mashirika haya mfumo wake wa ufanyaji kazi ni wa siri mno. Hata ikitokea either mtu baki au ofisa akajaribu kufukunyua fukunyua mambo yao, basi kifo chake Kiko peupe. Ingawa Sina uhakika (<50%), inasadikika Raisi wa marekani Kennedy aliuawa na majasusi wa CIA na kituko ni kwamba mtu aliyemuua aliachiwa hivi karibuni akidaiwa kuwa na matatizo ya akili.
Kutokana na misimamo ya Agents wa CIA, shirika hilo limekuwa likiogopwa sana. Kama na sisi technologically tungekuwa tume advance na kuacha kuwa na Political infatuation, majasusi wangekuwa na misimamo ama kweli tungefana.🤛🎩