Agent wa barrick

MtoMsimbazi

JF-Expert Member
Aug 19, 2009
1,158
1,771
habari zenu wana JF, naombeni mwenye taarifa au mwenye kuwafahamu mawakala wa Barrick au migodi ya madini hapa Dar es salaam ningependa kuwasiliana nae aweke wazi tu si kwa nia mbaya na nisingependa watu waanze kuhoji kunani, ninachoomba ni mawasiliano nae huyo wakala.
 
Nenda ofisi za Barrick, kule Masaki mtaa wa Buzwagi utapata hizo information unataka
 
Unamaanisha nini unaposema wakala wa Barrick. Barrick ina mawakala wa clearing,transport na vitu kibao.....kuwa wazi
 
watu wengine bana halafu huyu akifeli anasema mitihani imesahihishwa kwa upendeleo..kama kujieleza tu huwezi hivi wewe unaweza kufaulu kweli wewe...
 
watu wengine bana halafu huyu akifeli anasema mitihani imesahihishwa kwa upendeleo..kama kujieleza tu huwezi hivi wewe unaweza kufaulu kweli wewe...

daah jamaa unapenda mitihani wewe..... endelea kufaulu sio mbaya
 
Back
Top Bottom