Agenda kuu kwenye mikutano ya CHADEMA kwa sasa ni uamuzi na uelekeo wa g55. Unadhani kwanini CHADEMA wamechagua agenda hii na kuachana na zingine?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,832
Je,
wametambua na kujiridhisha kwamba nonsense agenda ya no reform no elections haikiki, haiuziki, haieleweki wala kutekelezeka na wananchi wanaipuuza?

Au wamebaini kua mwenyekiti wao Taifa kusota korokoroni kwasababu ya uropokaji unaokiuka sheria ni agenda isiyo na mashiko, haibambi na wananchi hata hawataki habari ya upotoshaji zaidi kutoka kwa viongozi wa CHADEMA wanaozurura tu maeneo mbalimbali nchini wakiomba kuchangiwa pesa za kujikimu kwasababu hawana ajira?

Au habari za g55 ndio zinawavutia wananchi wengi zaidi mikutanoni na hivyo uongozi wa CHADEMA Taifa imeonelea kuifanya g55 kua agenda kuu ya mikutano yao ili hatimae hata wakipitisha bakuli kuomba kuchangiwa pesa au chochote kitu, basi walau wapate hata hata elfu90 au laki, maana kwa muda mrefu sasa wanachezea elfu 40 au 50 tu na wao wako wengi, wakigawana elfu tano tano hela yote inakua imeisha.

Kwa maoni yako kisiasa,
unadhani kwanini uongozi wa CHADEMA Taifa umechagua uamuzi na uelekeo wa g55 kama ndio agenda yao kuu kwa sasa na kuziweka pembeni agenda zingine?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Mkuu hulali? Relax uhudumie mke ss, mida mibaya hii pata break ya siasa upumzike, upo busy mno angalia stress zitakupa hypertension na diabetes bure uwaachie uvisisiem wengine ulaji kina mwashambwa
 
umelemewa na hoja gentleman right?

na kwamba umekua mshauri wa masuala ya maisha ghafla, dah !🐒
 
Kuna tatizo la kuelewa.
Agenda ya cdm ya kudai reforms si kwa faida ya chama chao tu
Management za raslimali za taifa si kwa faida ya chama tu.
Ukosefu wa ajira kwa ukosefu wa viwanda vya kuchakata raslimali zetu siyo kwa faida ya chama. Hawa jamaa hawastahili hata kutukanwa kwa sababu utekelezaji wa sera zao zitanifaisha taifa zima.kwani kuiga kitu kizuri ni dhambi kama waongoze nchi
 
ndani ya chama chao hawaitaki hiyo nonsense na viongozi wao wakuu pia wameichoka na hawaihuburi tena,

unadhani ni kwanini wameamua kuzungumzia zaidi uamuzi na uelekeo wa g55 kama ndio agenda kuu kwa sasa kuliko zingine?

hizo blablaa zingine sio issue za maana chadema gentleman 🐒
 
Labda kama hufuatilii mikutano ya CHADEMA, Ole Sosopi anahubiri NRNE, Mahinyila anatarget vijana waamke, Dr Slaa na "Chura Kiziwi", Nabii Lema na NRNE na huwa anatoa elimu,Mnyika ndio pakee huwa ana expose agenda za G55 Heche huwa anapiga Spana za Uchumi na NRNE.
 
ndani ya chama chao hawaitaki hiyo nonsense na viongozi wao wakuu pia wameichoka na hawaihuburi tena,

unadhani ni kwanini wameamua kuzungumzia zaidi uamuzi na uelekeo wa g55 kama ndio agenda kuu kwa sasa kuliko zingine?

hizo blablaa zingine sio issue za maana chadema gentleman 🐒
Hata ccm kwenye mikutano yao wanawazungumzia?chadema mda wote ukiwemo wewe halali kwa kuiwaza?chadema.
 
Hivi wewe mama huna mme?.
Kila siku kuandika pumba tu humu mpaka waliokutuma wanaona aibu.
Fyuuuu!!!@.
 
Je,
wametambua na kujiridhisha kwamba nonsense agenda ya no reform no elections haikiki, haiuziki, haieleweki wala kutekelezeka na wananchi wanaipuuza?

Au wamebaini kua mwenyekiti wao Taifa kusota korokoroni kwasababu ya uropokaji unaokiuka sheria ni agenda isiyo na mashiko, haibambi na wananchi hata hawataki habari ya upotoshaji zaidi kutoka kwa viongozi wa CHADEMA wanaozurura tu maeneo mbalimbali nchini wakiomba kuchangiwa pesa za kujikimu kwasababu hawana ajira?

Au habari za g55 ndio zinawavutia wananchi wengi zaidi mikutanoni na hivyo uongozi wa CHADEMA Taifa imeonelea kuifanya g55 kua agenda kuu ya mikutano yao ili hatimae hata wakipitisha bakuli kuomba kuchangiwa pesa au chochote kitu, basi walau wapate hata hata elfu90 au laki, maana kwa muda mrefu sasa wanachezea elfu 40 au 50 tu na wao wako wengi, wakigawana elfu tano tano hela yote inakua imeisha.

Kwa maoni yako kisiasa,
unadhani kwanini uongozi wa CHADEMA Taifa umechagua uamuzi na uelekeo wa g55 kama ndio agenda yao kuu kwa sasa na kuziweka pembeni agenda zingine?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Haya maswali yako yaliyojaa ujinga na upuuzi huwa unamuulizaga nani? Au ndiyo mnajiuliza nyie machawa na kujijibu wenyewe?
 
Je,
wametambua na kujiridhisha kwamba nonsense agenda ya no reform no elections haikiki, haiuziki, haieleweki wala kutekelezeka na wananchi wanaipuuza?

Au wamebaini kua mwenyekiti wao Taifa kusota korokoroni kwasababu ya uropokaji unaokiuka sheria ni agenda isiyo na mashiko, haibambi na wananchi hata hawataki habari ya upotoshaji zaidi kutoka kwa viongozi wa CHADEMA wanaozurura tu maeneo mbalimbali nchini wakiomba kuchangiwa pesa za kujikimu kwasababu hawana ajira?

Au habari za g55 ndio zinawavutia wananchi wengi zaidi mikutanoni na hivyo uongozi wa CHADEMA Taifa imeonelea kuifanya g55 kua agenda kuu ya mikutano yao ili hatimae hata wakipitisha bakuli kuomba kuchangiwa pesa au chochote kitu, basi walau wapate hata hata elfu90 au laki, maana kwa muda mrefu sasa wanachezea elfu 40 au 50 tu na wao wako wengi, wakigawana elfu tano tano hela yote inakua imeisha.

Kwa maoni yako kisiasa,
unadhani kwanini uongozi wa CHADEMA Taifa umechagua uamuzi na uelekeo wa g55 kama ndio agenda yao kuu kwa sasa na kuziweka pembeni agenda zingine?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mimba changa inakusumbua, nitakuletea udongo wa Kigoma utulie.
 
Kosa kubwa nchi inafanya ni kuruhusu Siasa kua Ajira rasmi...mtagombana sana ,mtu Yuko tayari kuua,yes Ajira iko shakani wakati nchi ni yetu sote!ikibidi turudi kwenye Azimio la Arusha tuboreshe tuanze upya
 
Je,
wametambua na kujiridhisha kwamba nonsense agenda ya no reform no elections haikiki, haiuziki, haieleweki wala kutekelezeka na wananchi wanaipuuza?

Au wamebaini kua mwenyekiti wao Taifa kusota korokoroni kwasababu ya uropokaji unaokiuka sheria ni agenda isiyo na mashiko, haibambi na wananchi hata hawataki habari ya upotoshaji zaidi kutoka kwa viongozi wa CHADEMA wanaozurura tu maeneo mbalimbali nchini wakiomba kuchangiwa pesa za kujikimu kwasababu hawana ajira?

Au habari za g55 ndio zinawavutia wananchi wengi zaidi mikutanoni na hivyo uongozi wa CHADEMA Taifa imeonelea kuifanya g55 kua agenda kuu ya mikutano yao ili hatimae hata wakipitisha bakuli kuomba kuchangiwa pesa au chochote kitu, basi walau wapate hata hata elfu90 au laki, maana kwa muda mrefu sasa wanachezea elfu 40 au 50 tu na wao wako wengi, wakigawana elfu tano tano hela yote inakua imeisha.

Kwa maoni yako kisiasa,
unadhani kwanini uongozi wa CHADEMA Taifa umechagua uamuzi na uelekeo wa g55 kama ndio agenda yao kuu kwa sasa na kuziweka pembeni agenda zingine?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Jikite kwenye kutuelezea sera za chama chako na kutushawishi sisi wengine ambao sio mboga mboga!...

Habari zako zimekaa kimbeambea,hazina kichwa wala miguu.
Wewe kila siku unazungumzia ya watu tuu ya kwako utazungumzia lini?
Nonsese!
 
IMG-20250512-WA0060.jpg
 
Komredi naona unatetea ujinga wako kwa wivu mkubwa 😂
IMG-20250511-WA0021.jpg
 
Jikite kwenye kutuelezea sera za chama chako na kutushawishi sisi wengine ambao sio mboga mboga!...

Habari zako zimekaa kimbeambea,hazina kichwa wala miguu.
Wewe kila siku unazungumzia ya watu tuu ya kwako utazungumzia lini?
Nonsese!
Gentleman,
ingependeza zaidi,
japo kwa ufupi tu, ungewaeleza wadau wa JF kulikoni g55 ndio iwe agenda ya Chadema kwa sasa kuliko agendas zingine nonsense zaidi?

nadhani hili ni muhimu zaidi kabla hujapindisha mjadala 🐒
 
Back
Top Bottom