Eliya Konzo
Senior Member
- Dec 9, 2012
- 100
- 56
5 hadi kumi mwanaume umzidi mwanamke
inafaa zaid mwanaume amzidi mwanamke kuanzia miaka 4-8 sio mbaya,manake wenzetu akili zao hazikui haraka kama wadada
Inategema na binadamu, babu yangu alikuwa anawakandamaiza hata wale kawazidi miaka 80 nawalikuwa wanamfata kwa foleni hahaha.Mmoja lazima atakuwa low performer.
Inategema na binadamu, babu yangu alikuwa anawakandamaiza hata wale kawazidi miaka 80 nawalikuwa wanamfata kwa foleni hahaha.
Siku hizi watu hawazingatii hayo tena, badala yake hali imekuwa tofauti wanawake ndio wanakuwa na umri mkubwa kuliko wanaume.Kama kweli Adam na Hawa walikuwa wazazi wetu wa kwanza,,basi Mwanaume awe na umri kumzidi mwanamke..
Adamu aliumbwa kwanza Hawa akafuatia
Sina tofauti exactly ya umri,,vyovyote iwavyo mwanaume amzidi mwanamke