Milestone JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 376 Reaction score 413 Dec 15, 2012 #1 Hivi age difference sahihi kwa wapenzi inatakiwa kuwa ni ngapi ?
Fpam JF-Expert Member Joined Apr 28, 2011 Posts 290 Reaction score 115 Dec 15, 2012 #3 15, hiyo c number tu
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,502 Dec 15, 2012 #4 3 to 7 years
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,481 Reaction score 8,599 Dec 15, 2012 #5 30 years
fazaa JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 2,984 Reaction score 1,031 Dec 15, 2012 #6 Mwanaume anatakiwa awe ana miaka 2-5 mkubwa kwa mwanamke, kama mnataka kuowana. Kama mnataka ku sex tu hata mkiwa mmezidiana miaka 50 hakuna noma.
Mwanaume anatakiwa awe ana miaka 2-5 mkubwa kwa mwanamke, kama mnataka kuowana. Kama mnataka ku sex tu hata mkiwa mmezidiana miaka 50 hakuna noma.
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,920 Dec 15, 2012 #7 Kaunga said: 3 to 7 years Click to expand... Mkubwa awe nani?Mwanaume au mwanamke?
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Dec 15, 2012 #8 fazaa said: Mwanaume anatakiwa awe ana miaka 2-5 mkubwa kwa mwanamke, kama mnataka kuowana. Kama mnataka ku sex tu hata mkiwa mmezidiana miaka 50 hakuna noma. Click to expand... Mmoja lazima atakuwa low performer.
fazaa said: Mwanaume anatakiwa awe ana miaka 2-5 mkubwa kwa mwanamke, kama mnataka kuowana. Kama mnataka ku sex tu hata mkiwa mmezidiana miaka 50 hakuna noma. Click to expand... Mmoja lazima atakuwa low performer.
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,502 Dec 15, 2012 #9 Eiyer said: Mkubwa awe nani?Mwanaume au mwanamke? Click to expand... Mwanaume, maana uzoefu unaonesha wanaume wanachelewa kumature. Ila ikiwa mwanaume yu above 30 hata akioa mwanamke wa 45 ni sawa coz hapo mwanaume kesha mature tayari.
Eiyer said: Mkubwa awe nani?Mwanaume au mwanamke? Click to expand... Mwanaume, maana uzoefu unaonesha wanaume wanachelewa kumature. Ila ikiwa mwanaume yu above 30 hata akioa mwanamke wa 45 ni sawa coz hapo mwanaume kesha mature tayari.
harakat JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 2,887 Reaction score 1,361 Dec 15, 2012 #10 Mi nona mwanamke maana vibabu vinafiaa sana kwenye magest kumbe kibinti kilimpa kazi ngumu ya kuchungulia wapita njia nje wewe chezea 6x6
Mi nona mwanamke maana vibabu vinafiaa sana kwenye magest kumbe kibinti kilimpa kazi ngumu ya kuchungulia wapita njia nje wewe chezea 6x6
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,920 Dec 15, 2012 #11 Haya bana,ila Eiyer na Kaunga hawakuzingatia huu muongozo!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,502 Dec 15, 2012 #12 Eiyer said: Haya bana,ila Eiyer na Kaunga hawakuzingatia huu muongozo!! Click to expand... Wao muongozo wao ulikuwa LOVE! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Eiyer said: Haya bana,ila Eiyer na Kaunga hawakuzingatia huu muongozo!! Click to expand... Wao muongozo wao ulikuwa LOVE!
Cpp JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 1,238 Reaction score 2,482 Dec 15, 2012 #13 Umri ni namba tu, mkipendana manwekana ndani acheni uwoga mradi wote kunako bed mnawezana
Visenti JF-Expert Member Joined Jul 24, 2008 Posts 1,025 Reaction score 333 Dec 15, 2012 #14 age difference is irrelevant for consensual adult relationship
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,372 Dec 15, 2012 #15 Ila mi naona 5-10
Makene JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,475 Reaction score 282 Dec 15, 2012 #16 ukishampata mnayependana, piga hesabu uone tofauti ya miaka, kisha tumia hiyo tofauti kupata ujuzi nini cha kufanya.
ukishampata mnayependana, piga hesabu uone tofauti ya miaka, kisha tumia hiyo tofauti kupata ujuzi nini cha kufanya.
by default JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 839 Reaction score 216 Dec 15, 2012 #17 20negative
Milestone JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 376 Reaction score 413 Dec 16, 2012 Thread starter #18 Ciello said: 10 years Click to expand... mbona hii inakuwa mingi sana na je hii haiwez kusababisha dharau kati ya huyu mpenzi wangu na wadogo zangu ambao watakuwa wakubwa kwake ?
Ciello said: 10 years Click to expand... mbona hii inakuwa mingi sana na je hii haiwez kusababisha dharau kati ya huyu mpenzi wangu na wadogo zangu ambao watakuwa wakubwa kwake ?
Milestone JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 376 Reaction score 413 Dec 16, 2012 Thread starter #19 Fpam said: 15, hiyo c number tu Click to expand... muongo mmoja na nusu huo c utakuwa ubakaji sasa ?
Milestone JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 376 Reaction score 413 Dec 16, 2012 Thread starter #20 MKATA KIU said: 30 years Click to expand... huo ni mwaka ambao tayari inatakiwa niwe nimeshaoa au age difference ?
MKATA KIU said: 30 years Click to expand... huo ni mwaka ambao tayari inatakiwa niwe nimeshaoa au age difference ?