Agano la damu tusilolithamini

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,878
Reaction score
10,515
Kwa kumtoa bikra mwanadada, damu itakayo ni agano lako naye la upendo (wanawake wengi husema"......sitokaa nimsahau mwanaume wangu aliyenileta ukubwani....."), lakini cha kushangaza midume mingi huwa inatoka nduki

....maandiko yamenena "Damu ya nduguyo ulomwaga inakulilia...."

tafakari chukua hatuaa
 

Damu ya ubikira haina nguvu yeyote ndugu yangu, kabla ya damu ya Yesu kumwagika, damu iliyokuwa na nguvu ilikuwa ile ya Habili, yani hata damu wa mabeberu wa dhabihu zilikuwa hazioni ndani.

Ubikira unaanza kupoteza maana yake kutokana na utandawazi, watu wanajionea sawa tu kuoa wake za watu cku hizi kwani kwa mujibu wa imani "ukimuoa mwanamke yeyote, ukamkuta siyo bikira na aliembikiri bado yupo hai, jua umeoa mke wa mtu"
 
Kutokana na kukosa uaminifu wanawake wa siku hizi ,hua unawakuta na bikira moja tu ya masikio au pua

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Duh. Umenifanya niangalie hili suala kwa jicho tafauti.
Nimepata approach mpya kwa ajili ya wanangu.
 
^^
Uko sahihi,,tatizo kabinti unakatoa bikra kanaruruka huku na kule,,kazi kukulilia tu TULIA BASI uolewe,,aya natulia ila ndo unakuwa umekafungulia kajue kila mwanaume.
Maagano mengine Mungu asamehe,nasi tuna mioyo huwezi timiza kwa mtu asiyeheshimu ahadi.
^^
 
Kutokana na kukosa uaminifu wanawake wa siku hizi ,hua unawakuta na bikira moja tu ya masikio au pua

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

yaani hii mambo ndo itanifanya nichukue maamuzi magumu ya kuzaa bila kuolewa!
....yaani mwanamke ndo anaonekana hajatulia hapa!! Hivi hyo bikira inakuwa imetolewa na mwanamke mwenzie au mwanaume?
..kwann kila kitu mwanamke wakati anaesababisha ni mwanaume?
...tied aisee,kila kitu mwanamke tuuuu,mtuache tupumue!!
Cc:kibibi jongo, lara 1, Munkari
 

'sema tena duh,ukioa mke ambae si bikira na aliemtoa yupo unakua umeoa mke wa mtu duh,kungekua na kifungu cha sheria cha kushughulika na hawa waoa wake za watu basi mahakama zingefurika lakin vp kwa mume anaemtoa mtu bikira na kwenda kuoa bikira,muolewaji hapa anakua hajaolewa na mume wa mtu?
 

kwa mtindo huo wengi tunaoa wake za watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…