Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,425
- 27,149
alafu lijitu linapita makanisani liombewe [huko china]Maneno mengi yanaongelewa Lakini ukweli ni kuwa stroke ya kwanza iliyoyumbisha afya ya Mzee ilitokea mwaka 2017 kwa sababu kuu mbili , kama mnakumbuka nikipindi hicho wafanyabiashara wengi akiwamo Mzee Bakhressa walipata msukosuko yeye akiwa mmoja wao , na wengine kama Mzee Mellou Mrema nk
Yeye pia alipata usumbufu Sana kwenye biashara zake ikiyopelekea kufunga migodi yake .
Zaidi yeye aliendelea kundamwa kutokana na kuwa na IPP Media ambayo ilikua imejikita kwenye utoaji habari bila kuogopa hii ilinsababishia usumbufu mkubwa Sana hata wa kupigiwa simu na kufokewa pale vyombo hivyo vilipoandika habari ambayo haikupendeza wakubwa
Ilumbukwe wako wafanyabiashara wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana wengine wako ndani ; wamefilisika; wanejiuwa; wana stroke na wamehama nchi au kuacha biashara .Tuwaombeee wote
Mungu ampe pumziko la Milele Amina
Acha kugeuzia dola kibao kifo cha mengi. Alipata stroke 2017 wewe tu ndio unajua? Sasa unataka serikali iwe inaacha wafanyabiashara wasilipe kodi au kufanya biadhara bila kufuata sheria ili wasipate stroke? Kwanza mengi alikua mfanyabiashara makini na mtiifu wa sheria usilete umbea.Maneno mengi yanaongelewa Lakini ukweli ni kuwa stroke ya kwanza iliyoyumbisha afya ya Mzee ilitokea mwaka 2017 kwa sababu kuu mbili , kama mnakumbuka nikipindi hicho wafanyabiashara wengi akiwamo Mzee Bakhressa walipata msukosuko yeye akiwa mmoja wao , na wengine kama Mzee Mellou Mrema nk
Yeye pia alipata usumbufu Sana kwenye biashara zake ikiyopelekea kufunga migodi yake .
Zaidi yeye aliendelea kundamwa kutokana na kuwa na IPP Media ambayo ilikua imejikita kwenye utoaji habari bila kuogopa hii ilinsababishia usumbufu mkubwa Sana hata wa kupigiwa simu na kufokewa pale vyombo hivyo vilipoandika habari ambayo haikupendeza wakubwa
Ilumbukwe wako wafanyabiashara wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana wengine wako ndani ; wamefilisika; wanejiuwa; wana stroke na wamehama nchi au kuacha biashara .Tuwaombeee wote
Mungu ampe pumziko la Milele Amina
Unataka kutuambia nini Dada?Sasa mgonjwa wa stroke umpeleke Zanzibar wiki hii wiki ijayo Dubai. Kuanguka akiwa peke yake ilhali yeye ni married man tena yuko holiday na mkewe.
Kuwa mzee Mengi sasa ni marehemu.Unataka kutuambia nini Dada?
He was very weak for a long time. And what about other things which people don't say? Kuanguka huko Dubai akiwa peke yake kama wanavyosema, sio sababu ya yeye kufa...alishakuwa weak....ila mizunguko na tabu za DuniaSasa mgonjwa wa stroke umpeleke Zanzibar wiki hii wiki ijayo Dubai. Kuanguka akiwa peke yake ilhali yeye ni married man tena yuko holiday na mkewe.
Maneno mengi yanaongelewa Lakini ukweli ni kuwa stroke ya kwanza iliyoyumbisha afya ya Mzee ilitokea mwaka 2017 kwa sababu kuu mbili , kama mnakumbuka nikipindi hicho wafanyabiashara wengi akiwamo Mzee Bakhressa walipata msukosuko yeye akiwa mmoja wao , na wengine kama Mzee Mellou Mrema nk
Yeye pia alipata usumbufu Sana kwenye biashara zake ikiyopelekea kufunga migodi yake .
Zaidi yeye aliendelea kundamwa kutokana na kuwa na IPP Media ambayo ilikua imejikita kwenye utoaji habari bila kuogopa hii ilinsababishia usumbufu mkubwa Sana hata wa kupigiwa simu na kufokewa pale vyombo hivyo vilipoandika habari ambayo haikupendeza wakubwa
Ilumbukwe wako wafanyabiashara wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana wengine wako ndani ; wamefilisika; wanejiuwa; wana stroke na wamehama nchi au kuacha biashara .Tuwaombeee wote
Mungu ampe pumziko la Milele Amina
Kifo ni kifo tu,mzee kwanza kapendelewa 78 yrs?,unacholeta hapa ni uchonganishi usio na maana ,mzee Baressa anaumwa kisukali,siku akifa utakuja na songi la hivihivi,soma vitabu vya dini uone maana ya kifo,acha kuroga mchana kweupeee!Maneno mengi yanaongelewa Lakini ukweli ni kuwa stroke ya kwanza iliyoyumbisha afya ya Mzee ilitokea mwaka 2017 kwa sababu kuu mbili , kama mnakumbuka nikipindi hicho wafanyabiashara wengi akiwamo Mzee Bakhressa walipata msukosuko yeye akiwa mmoja wao , na wengine kama Mzee Mellou Mrema nk
Yeye pia alipata usumbufu Sana kwenye biashara zake ikiyopelekea kufunga migodi yake .
Zaidi yeye aliendelea kundamwa kutokana na kuwa na IPP Media ambayo ilikua imejikita kwenye utoaji habari bila kuogopa hii ilinsababishia usumbufu mkubwa Sana hata wa kupigiwa simu na kufokewa pale vyombo hivyo vilipoandika habari ambayo haikupendeza wakubwa
Ilumbukwe wako wafanyabiashara wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana wengine wako ndani ; wamefilisika; wanejiuwa; wana stroke na wamehama nchi au kuacha biashara .Tuwaombeee wote
Mungu ampe pumziko la Milele Amina
Shangaa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Sasa mgonjwa wa stroke umpeleke Zanzibar wiki hii wiki ijayo Dubai. Kuanguka akiwa peke yake ilhali yeye ni married man tena yuko holiday na mkewe.
Very clear!Hii taarifa yako imejikita katika kutafuta manufaa kisiasa, Wewe ni mhuni na mgonjwa wa siasa kwako kila tukio ni fursa ya kufanya politics.
Hebu acha watu waomboleze na wamzike mzee wao kwani alotenda kwa familia, jamii na nchi ni makubwa na yanaongea yenyewe. Hatutaki taarifa za kuumba umba hapa ziondoe watu kwenye maombolezo
Apumzike kwa amani Mzee...
Nilivyoitizama hii video kuna kitu hakikuwa sawa...
Andamana
Kuwa mzee Mengi sasa ni marehemu.
yaani ww unawaza kwa sauti kama ninavowaza mm, haiwezekani married man, awe chumba chake peke yakeSasa mgonjwa wa stroke umpeleke Zanzibar wiki hii wiki ijayo Dubai. Kuanguka akiwa peke yake ilhali yeye ni married man tena yuko holiday na mkewe.
Mapenzi ya Jacqueline yalimpeleka puta sana mzee mengi ilihali naona mzee mengi ilimfanya awe nae kama mtoto, kuna asilimia kiasi cha Jacqueline kusababisha kifo cha bwana Mengi,siri ya mafanikio ya Mengi ilikua ni ya yule mke wake alietangulia, yule mama ndiyo alimpa changamotoSasa mgonjwa wa stroke umpeleke Zanzibar wiki hii wiki ijayo Dubai. Kuanguka akiwa peke yake ilhali yeye ni married man tena yuko holiday na mkewe.
Ila ukumbuke, wadanganyifu wengi,huamini kila aliyefanikiwa ni mdanganyifu! Mchawi akiumwa huamini amelogwa kama alivyologa wenzie wakaumwa.R.I.P. Sasa walizoea ujanja ujanja awam hii sio.Inabidi wapige moyo konde otherwise watakufa wengi.