Afya ya akili ya Robert Mugabe iko sawa ?

Zimbabwe Wamesoma JF mnavyo wazogodoa wame-take action...
Mwanzoni mwa uzi niliweka hii [emoji117] [emoji38]
 
Shukrani kubwa sana kwa jeshi la Zimbabwe kwa kuung'oa mbuyu uliokuwa unanyonya maji ya nchi na kusababisha ukame .
 
Naomba kutoa shukrani kubwa sana kwa JF na kwa jeshi la Zimbabwe kwa kusoma uzi huu na kuchukua hatua .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…