Afya ya akili ya Jerry Murro iko sawa ?

He's just delusional;
Delusion is a false unshakable belief or impression maintained despite being contradicted by what is generally accepted in a society as normal or rational argument.
This is a feature of paranoid schizophrenia
 
machizi wengi walianza hivihivi jamii ikadharau.
WITO:Natoa wito kwa ndugu na jamaa wa kijana murro kuwa hakika huyu mtu ni mgonjwa jitihada za haraka zichukuliwe kuokoa hali yake kabla hajaanza kuvua nguo.
 
Wataalam wa afya ya akili wa kweli wamekatazwa kwa maadili ya kazi zao kufanya uaguzi mitandaoni.

Hivyo, watakaoagua kupitia mitandao wote si wataalam wa afya ya akili wa kweli.
 
HUYU NI KICHAA TOKA ZAMANI, SIKIA CLIP HII NA SOMA YANAYOFUATA
Huyu Jerry Muro ana matatizo gani jamani?
 
Mlango taka wake upo wazi 24/7 unategemea nn
 

Kwa sasa ni mkuu wa wilaya ya Arumeru Arusha lakini ukifuatilia hekaheka zake unabaki umeduwaa!!! Yawezekana aliteuliwa kwa sababu ya "ukichaa kichaa" wake!!
Mara ajigeuze TRA asimame barabarani kukamata malori! mara ajiite mkuu wa mkoa! na leo kachanachana hadharani risala ya chama cha ushirika!!
Yajayo yanafadhaisha!
 
Aiseeee !!!
 
Reactions: MTK
mkuu. kuna shule za msingi za vichaa, kuna sekondary za elimu maalumu/vichaa lakini je kuna chuo kikuu chochote wanaposoma vichaa? je vichaa wakifaulu mitihani yao ile ya msingi na hata sekondary wanaenda vyuo gani humu nchini? wakimaliza shahada zao za kwanza wanaenda wapi? je hakuna vichaa wenye PhD?
 
Kama mamlaka ya uteuzi ingekuwa inaingia jf basi hata hii aibu ya GARI LA UMMA KUTUMIKA KUSOMBA MALAYA LISINGETOKEA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…