Afya ya akili ya Jerry Murro iko sawa ?

Afya ya akili ya Jerry Murro iko sawa ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,571
Reaction score
272,315
Naomba wale wataalam na Madaktari wa magonjwa ya akili waje watusaidie , na hakuna haja ya watu wasio wa fani husika kuingilia.

Kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni , aliyekuwa Msemaji wa Yanga na mtuhumiwa wa kumiliki pingu kinyume cha sheria , ndugu Jerry Murro ameibuka kuwa msemaji wa mambo ya siasa bila hata ya kuwa na cheo chochote kinachotambulika , amejivika usemaji wa ccm kiasi ambacho ni cha kutia aibu sana !

Kauli za hovyo anazotoa zimeleta mashaka kwenye jamii kiasi cha watu kujiuliza kama afya yake ya akili iko sawa .

Ni vizuri wataalam wa magonjwa ya mtindio wa ubongo wakatueleza kama ni mzima au la ili kumuepusha na makombora yasiyo ya lazima.

Natanguliza shukrani .
 
Nakumbuka maneo ya mwanasiasa mmoja aliyekuwa mbunge kupitia CCM kisha akahamia CDM. Alisema,"wakati wa kampeni walitangaza sana kuhusu ugonjwa wa mgombea wetu wakasahau kusema mgombea wao ana matatizo ya akili" Wako wengi hawa!
 
Back
Top Bottom