Na bima za afya sidhani kama zina cover afya ya akili.Mkuu hospitali zinazodeal na afya ya akili ,ziko chache,,na dawa zake ni more expensive na often tiba ni ya muda mrefu,wachache sana wanaweza ku afford.hii ni vita nyingine.
Hospitali ni chache kweli,lakini kuna dawa za magonjwa ya akili zilizo cheap sana na zipo zilizo expensive pia,Mkuu hospitali zinazodeal na afya ya akili ,ziko chache,,na dawa zake ni more expensive na often tiba ni ya muda mrefu,wachache sana wanaweza ku afford.hii ni vita nyingine.
Bima ya Afya inacover psychiatric issues vizuri sanaNa bima za afya sidhani kama zina cover afya ya akili.
Hospitali ni chache kweli,lakini kuna dawa za magonjwa ya akili zilizo cheap sana na zipo zilizo expensive pia,
Bima ya Afya inacover psychiatric issues vizuri sana
mkuu sidhani kama dawa za schizophrenia ni cheap,kwa bongo shilling ngapi zipo?
Haloperidol kwa mfano,kidonge 150 hadi 150 tsh
Mkuu magonjwa ya akili sio kama typhoid unapima,unajulikana una huu ugonjwa then unapewa dawa,mara nyingi mambo ya akili yanahitaji observation isiopungua wiki mbili,napo daktari anaweza asiwe certain na diagnosis yako,na dawa pia ni trial and error,mpaka wapate dawa inayo work,so hio haloperadol ni mojawapo ya hizo dawa,labda ni cheap,ila je inafanya kazi kwa kila mtu mwenye schizophrenia?
Mkuu hivi vidonge vya haloperidol vinavyouzwa kwa 150,000 ni vya uzito gani? vipo vya 1.5mg, 5mg, 10mg na 20mg.
Ndio maana nikasema kuna dawa zenye bei kubwa na zenye bei ndogo just like any other medical condition ukiachana na saratani ambazo dawa zake expensive
Daktari anapofanya choices anazingatia vitu vingi ikiwamo pia affordability ya dawa maana kama hawezi kuafford itapunguza compliance na kupelekea treatment failure
Mkuu unarudi nyumbani mwana familia mwenzako anakuangalia kama picha, amepoteza uchangamfu, hapo bado hutafikiria kumpeleka hospitali?Kitu ambacho hakiwezekani ni kumgundua mtu kama ana ugonjwa wa akili, na pia matibabu kwa wagonjwa nahisi kwa kiasi kikubwa ni kumvunjia mtu uhuru wa maamuzi yake... Tuiache nature ifuate mkondo wake
Kama ni physical hapo sawa... Ila mental huwa siamini,Mkuu unarudi nyumbani mwana familia mwenzako anakuangalia kama picha, amepoteza uchangamfu, hapo bado hutafikiria kumpeleka hospitali?