Afunga Ndoa na Mbwa.

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,195
Reaction score
2,062
Mamilox mmoja nchini Uingereza anaeitwa Elizabeth..'Alaf haya majina ya Eliza haya!'anyways Mwanamke huyo aliewahi kutembea na wanaume 221 amefanya kufuru baada ya kuamua kufunga ndoa na Mbwa ambae alikua akiishi nae nyumbani kwake.
@ChaliiYaKijengeJuu.
 

Attachments

  • Ah.JPG
    30 KB · Views: 77
mbwa ameambiwa kinachoendelea ?
 
(Ending Of Thinking Capacity)

Iyo kauli inawahusu watu wengi miongon mwao ni uyo half hell anaye Fanya ujinga kam uwo

Iv nyie wanawake mnakwama wap ..?
 
(Ending Of Thinking Capacity)
Iyo kauli inawahusu watu wengi miongon mwao ni uyo half hell anaye Fanya ujinga kam uwo
Iv nyie wanawake mnakwama wap ..?
Ending of Thinking Capacity is a Begining of the Problems.
 
Ndio maana huku nilipo jua Kali sana
 
Marekani kuna jimbo moja sex na wanyama ni halali kabisa na watu huwa wanaenda kununua wanyama kwa ajili hiyo
Wanyama pendwa inasemwa kuwa ni mbwa na farasi

Dunia imefika mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…