Wandugu habari za kazi,
Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.
Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.
Kuna mdada nafanyanae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.
Chakushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa, jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.
kwakweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea..jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakacho jili baada ya hapa.[/QUOTE
Asikuambie mtu, 'Quickies' ni Taaaam mpaka kwenye kisogo.kweli mchongo huo
sira hasara na hazitasaidia..ukishawatwanga risasi then what.........Yaani mimi nimkute demu wangu achilia mke analiwa uroda ofisini hakiya nani nawatwanga risasi ya moyo ili wafe na maumivu makali.
Kwani lazima kuvua.....ni kama unaposikia kitu kimegusa nje usiku, utatoa pazia lote ili uone ni nini, au utasogeza pazia kidogo uchungulie?Watu wana hatari jamani!! ivi unavuaje nguo ukafanya mambo mabaya kazini na una mume nyumbani...?
kwaio umefurahia mwenyewe,wanawake bana..Wandugu habari za kazi,
Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.
Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.
Kuna mdada nafanyanae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.
Chakushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa, jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.
kwakweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea..jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakacho jili baada ya hapa.
Acha wogaSiwezi fanya hivyl coz ni mazongra ya kazin na inahusu staff wenzangu
Wewe si utaozea Segerea?Yaani mimi nimkute demu wangu achilia mke analiwa uroda ofisini hakiya nani nawatwanga risasi ya moyo ili wafe na maumivu makali.
Mlango wa ofisi haukufungwa?
Si lazima uamini maana kuamini au kutoamini kwako hakubaridiri ukweliMKUU hii in stori ya kutunga tu - hakuna ukweli wowote. What a coincident - mumewe kuingia ofisi kwa Mkewe kakuta hayupo - kaomba msaada wa kupelekwa ofisi kwa bosi wake,narudia - ofisini sio nyumbani kwa bosi au Hotelini - kakuta mlango wa Bosi umerudishiwa tu haujafungwa ili yeyote anayetaka kuangalia senema ya bure ruksa!!!
Bosi baada ya kuwakuta sijui kwenye meza, sakafuni au kwenye makochi ya ofisini kawalazimisha kwa mtutu wa bunduki wagoni waendelee na shughuli yao kama kawa - Mara mumewe huyoo katokomea kusiko julikana baada ya kuhakikisha wabaya wake wanaendelea na ndomboro ya soro!!! Hii stori wapi na wapi??
Uzuri wa mambo haya ndio huu sasa, wakati mwingine inakuwa kama vile akili huwa haifanyi kazi kabisaa, yaani watu mnajiachia tuWatu wana hatari jamani!! ivi unavuaje nguo ukafanya mambo mabaya kazini na una mume nyumbani...?