JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,449
- 2,496
Baada ya kupata hela akaamua kwenda kulamba asali kwenye mzinga wa mtu na hali ikawa hivi
Ccm akikimbia LissuBaada ya kupata hela akaamua kwenda kulamba asali kwenye mzinga wa mtu na hali ikawa hivi
View attachment 3438560
KabisaJF inaelekea kufa kifo Cha asili.
Kizazi cha 2000 ndiyo kimejaa kwa sasa jumu jukwaani. Wakiamua kumtukana mtu, wanamtukana mpaka unawaza kama huyu mtoto angekuwa ananitukana hivi akiwa mbele yangu si ningeishia jela!JF inaelekea kufa kifo Cha asili.