Afukuzwa Dubai sababu vyuma vya uso

Afukuzwa Dubai sababu vyuma vya uso

Hayo mapembe kichwani ndio nini? A salute to the price of hell?
 
Amependeza sana........sijui wamemfukuzia nini yarabi.............
 
dubai.jpg


Uso una mapembe! ni zaidi ya kituko
 
140818094758__uso_wake_rolf_bushholz_ulivyo_na_maumbile_kama_pembe_512x288_bbc_nocredit.jpg


Uso wake Rolf Bushholz ulivyo na maumbile kama pembe



Mwanaume mmoja kutoka Ujerumani anayeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa mtu aliyetoboa zaidi mwili wake, Rolf Buchholz amekatazwa kuingia Dubai.

Rolf Buchholz, ametoboa mwili wake mara 453 ikiwemo usoni mwake na ana pembe mbili juu ya paja la uso wake.


Rolf Bushholz aliyenyimwa ruhusa ya kuingia Dubai.

Mjerumani huyo mwenye umri wa miaka 53 alikuwa ameratibiwa kuandaa onyesho katika klabu moja mjini humo.
Bwana Buchholz alieleza BBC kuwa maafisa wakuu katika uwanja wa ndege walihofia huenda alikuwa ni '' mchawi'' .
Mtaalamu huyu wa tarakilishi alitambulika na kitabu cha rekodi za dunia cha Guiness, kama mwanaume aliyetoboa mwili wake zaidi duniani mwaka wa 2012.

140818094607_rolf_bushholz_katika_moja_ya_maonyesho_yake__512x288_bbc_nocredit.jpg

Rolf Bushholz katika moja ya maonyesho yake


Alieleza wanahabari wa Press News Agency kuwa hapo awali alikuwa amekubalika lakini baadaye akarejeshwa kabla ya kufika eneo la maafisa wa usafiri ndipo akarejeshwa katika ndege iliyokuwa ikielekea mjini Instabul Uturuki.
Onyesho lake katika mgahawa maarufu wa Irque le Soir ulioko katika hoteli ya Fairmont Hotel Dubai lilifutiliwa mbali.

140818094426_mdomo_wake_rolf_bushholz_aliyenyimwa_ruhusa_ya_kuingia_dubai_512x288_bbc_nocredit.jpg

Mdomo wake uso wake Rolf Bushholz ulivyotogwa


Maafisa wa mgahawa huo wa Fairmont Dubai wamesema kuwa walifanya chochote kadri ya uwezo wao kumuingiza Buchholz nchini Dubai lakini hawakufua dafu.
Bwana Rolf amesema kuwa mizigo yake bado iko Dubai na aliapa kwenye mtandao wa kijamii kuwa hatarudi tena katika milki za Kiarabu.
Polisi na Maafisa wa usafiri wa ndege nchini Dubai hawajazungumzia swala hilo. chanzo.BBC
 
Wakuu mkiwa kwenye CCM,UKAWA,CHADEMA,CUF sanaa hamtakuwa na muda wa kujua haya,so ninaomba mods msihiamishe japo for few minutes watu waweze elewa jamani

[h=2]Fears that Rolf Buchholz may use supernatural powers for evil purposes are said to be behind Dubai's decision not to let him in.[/h]
1014016-696404710418175-1768968097-n-1-522x293.jpg

The world-record holder for the most piercings has been refused entry to Dubai - claiming officials were worried he may practise black magic.
Rolf Buchholz, who has horn implants and more than 100 piercings on his face alone, said he was forced to cancel a nightclub appearance in the emirate.
He told the Associated Press that immigration agents initially stamped his passport and let him through, but that he was stopped again before he was able to exit customs.
The club said airport authorities cited "security reasons" in denying him entry, but the heavily tattooed 55-year-old said airport workers told him officials were concerned he could be a practitioner of black magic.
"I got never an official answer," he said.
"They are friendly but nobody answers your questions."
In addition to his body art and faux horns, Mr Buchholz has a record 453 piercings, many of them on his face and genitals, according to Guinness World Records.
Airport and immigration officials referred questions to the police, who could not be reached for comment.
Mr Buchholz, an information technology professional from Dortmund, Germany, had been scheduled to appear at the Cirque le Soir nightclub in Dubai's Fairmont Hotel on
 
Back
Top Bottom