Duh..nimekupata,inakera kweli.. La nyongeza. *Kuzungumzia mambo ambayo ni nje na tendo.e.g kazi au kukimbilia simu ya mkononi na kuiwasha ili atakaepiga kwa muda huo asikukose..ni vizuri kupozi kwa dakika kadhaa
kama hajakukatikia utakavyo, mfundishe. inawezekana aliyekua nae kabla yako hafagilii mauno. ukimwambia kwa kumsimanga ndio hayo sasa yenye kuboa. swali si kujirekebisha ni wewe kusema unachotaka, alishajirekebisha huko atokako kwa kutokata mauno.
duh kwel ili daraxa huru.!!! sa ka nikweli sijaridhika nisimwambie au hajui kweli kukatika, its a free zone area ntamwambia chochote ilimradi ni cha ukweli ili ajirekebishe..
Hio namba moja. mwanaume kama kweli kapiga mzigo ipasavo lazima usingizi
umptie hasa kama mko mapumzikoni. anakua amechoka.
labda kama mpo mnakutana bada ya hapo kila mmoja ana njia yake.
mi baada ya game nakimbilia jf ngoja nijirekebishe....hilo la kulala linanitokea baada ya game nzito and my grl loves it especially nikisinzia juu ya nyonyo zake,she says inamuonesha kuwa nimeridhika naye