After -sex-Mistakes | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

After -sex-Mistakes

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by interlacs, Apr 27, 2012.

 1. i

  interlacs Senior Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  Ndugu zangu yapo mambo ambayo mimi nayaita ( after sex mistakes), yaani makosa ambayo yanafanyika mara tu baada ya tendo la ndoa; after sex mistes yanachangia sana kudhorota kwa mausiano watu hawajuwi tu; ebu soma alafu changia na wewe makosa unayo jua;

  1. Kupata usingizi mara tu baada yakufikia kileleni: kuna watu mara tu baada ya kufika kileleni upatwa na usingizi gafla matokeo yake upande mmoja katia yao uachwa hewani ukiwa bado unashauku ya kuendelea.

  2. Kuoga ukiwa peke yako baada ya tendo: mara nyingi baada ya kufikia climax watu wengi ukimbilia bafuni wakiwa peke yao: kuoga ni jambo njema ila inatakiwa tendo hili lifanyike mkiwa wa 2, na siyo mara tu baada ya kukojoa ni vizuri kuvuta mda kidogo. Ukioga peke yako inaonyesha kwamba lengo lako ilikua ni sex tu au kuna harufu mbaya umeisikia kutoka kwa mpenzi wako sasa unakimbilia bafuni kuoga, matokeo yake ni kwamba uwezi kuendelea na tendo utalala uku ukumwenzio akiwa bado ana hamu yakuendelea na game, mwisho wasiku unamboa patna wako.

  3. kulala peke yako au sehem nyingine tofauti; watu wengi mara tu baada ya tendo la ndoa wanakimbilia kulala sehem nyingine na hawataki kuguswa: tendo la ndoa siyo wajibu tu ni furaha I.e. pleasure, wengine wanafanya tu kuridhisha upande wa pili, wakisha kojoa tu basi hawataki ata kuguswa. Hii inaonyesha kwamba lengo ilikua ni kutoa maji basi, na siyo kufurai tendo la ndoa. Subiri ufutwe, ukumbatiwe na mpongezane.

  4. Kusoma gazeti au kujishugulisha na mambo mengine mara baada ya tendo la ndoa; Sex is two ways road you should all enjoy the act before and after sex. kusoma gazeti mara tu baada ya tendo si jambo njema ndugu, ni vizuri kuendelea kumpapasa mpenzi wako ili kuonyesha kwamba unamjali, unampenda, wote mlikua pamoja wakati wa tendo.
  5. Kuwaita watoto au marafiki: si jambo njema mara tu unapo maliza tendo la ndoa kuwaalika marafiki au watoto chumbani kwenu, ni vizuri mkaendelea kua peke yenu ili kutafakari tendo.

  6. Kutoa maneno mabaya mara tu baada ya tendo: kwa mfano; unitoshelezi, sijaridhika, ka dude ka dogo, mwanamke gani huyu ata hajuwi kukatika, mwanamke kama mti ect, maneno haya upoteza hamu ya kuendelea kufanya mapenzi. Kumbuka maneno yana nguvu sana yanaweza kubadirisha mudi ya mtu. na wakati huu si wakati wakujadili makosa au matatizo ya familia, mtakorofishana na kupoteza maana ya tendo la ndoa. ivo basi inabidi kuwa waangalifu.

  Endeleza orodha hii...
   
 2. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  hapo nilipo-bold inabidi uendeleze wewe maana ndio ulieanzisha uzi mzito kiasi hicho...haya mkuu endeleza uliyoyaanza
   
 3. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  duh kwel ili daraxa huru.!!! sa ka nikweli sijaridhika nisimwambie au hajui kweli kukatika, its a free zone area ntamwambia chochote ilimradi ni cha ukweli ili ajirekebishe..
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Ngoja nikafanye uchunguzi na upembuzi yakinifu.
   
 5. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  aisee...huo ni ukweli mtupu...na kiukweli ukishatoa wazungu,inabidi ujue walau kuFAKE mana mzuka metii!na wanaume hapa tunakimbiaga fasta!mwingine anavaa nguo kabisa hata kukaa uchi hawezi tena!
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Kongosho ina maana hujawahi kutoa wanyama ww?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  hiyo niliyobold unanikumbusha mheshimiwa sana rais wa south mzee kipara zuma...zuma style unapiga fasta bafuni unaua vijidudu...safi sanaa
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  who Cares? hiyo njia inabidi iingie kwenye njia zile za kujikinga na maambukizi....tumechoka kuvaa RAMBO!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Nina ng'ombe watatu nawatoa kila siku kuwapeleka malishoni.

   
 10. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Naomba 2 modes msiihamishe,wengine hatuna acces ya kule lol!
   
 11. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  unaenda kugoogle au naenda kufanya physical practice kwanza?
   
 12. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Kongosho umeacha kufuga nyoka?huko nyuma ulikua unafuga ati...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Siwapendi tene nyoka, wanataka mashimi tu afu hawazalishi, bora ng'ombe nanywa hata maziwa.

   
 14. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  huwapendi unawaogopa?haswa wanapokasirika...wanatema mate haoo... Kongosho
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Afu inaudhi zaidi wakitena sumu koko, bora hata sumu ya kukua.

   
 16. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  7. Kuuliza "Chupi yangu iko wapi?"
  8. Kuvuta fegi
  9. Kutovua nylon
   
 17. Karucee

  Karucee JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 11,078
  Likes Received: 2,708
  Trophy Points: 280
  7. Kushangaa kama ****
  lol. Unamshika mwenzio sehemu yake ya siri huku unashangaa shangaa
  8. Kumkagua mwenzio mwilini na kuanza kusema maneno mabaya. Mfano, si mchina huyu??
  9. Kumvizia mwenzio amesinzia unampiga picha za utupu ili ukajisifie kijiweni
  10. Kukataa kumsaidia mwenzio kutafuta kondom kama hamuioni ana kummulika na tochi kama upo mgodini
  11. Kuwapigia simu washkaji na kujisifia mabao mangapi umepata ama kusifia 'mzigo' wa leo
  12. Kuuliza maswali mfano: mie kidume sio? Wakati unajijua wewe ni zero work na ukimuangalia unaona kanuna basi tu unajikausha
  .......... Chekeni kwanza nitarudi baadae.
   
 18. i

  interlacs Senior Member

  #18
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  Ndugu Kuracee big up!
   
 19. s

  striker-k Member

  #19
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umekwiva kijana, good
   
 20. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #20
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kuanza kumuigilizia alikvyokuwa akilalama kwenye game.... mfano alikuwa akiungama maneno fulani then afta gemu unaanza kumdhihaki
   
Loading...