After Obama win, hope and relief in China

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,454
Reaction score
975
After Obama win, hope and relief in China

By Kristie Lu Stout, CNN

November 7, 2012 -- Updated 0950 GMT (1750 HKT)

Hong Kong (CNN) --
China was a whipping boy on the U.S. campaign trail. So now that incumbent Barack Obama is savoring victory, Beijing will be breathing a sigh of relief.

There will be relief that a bitter campaign -- where both candidates talked tough on China -- is over.
China will be especially glad it doesn't have Mitt Romney to deal with.

"China is quite happy that Obama won the election because Obama is a known entity," says political columnist Frank Ching. "It's better to have the devil you know, than the one you don't."

Source: CNN.com - 2012 Elections Results, Breaking, World, Business, Sports, Entertainment and Video News

My take:
Obama is a disaster to the world.
China will freely continue to produce and sell counterfeit products to the world for the next four years.
Russia and Iran are equally happy for Obama victory as they know him as a weak US president.
The world needs tough US president like Reagan and Bush (both senior and junior).
 
"War is our Enemy" Barrack Obama. today's Speech.
 
Vurugu ndiyo ushujaa?

Vurugu sio ushujaa, ila kwenye ulimwengu huu uliojaa kila aina ya vichaa, anahitajika mtu mkakamavu.

Angalia hapa chini:-
  • Iran inatishia kuangamiza Israel (kuifuta kwenye uso wa dunia). Hapa ukiwa na kiongozi goi-goi kama Obama, magaidi hao watatimiza azma yao.
  • Kila kona ya dunia sasa kuna ugaidi. Hapa lazima kuwe na kiongozi jasiri kama Reagan au Bush.
  • China imetia fora kwa bidhaa 'fake'. Sasa Obama amewalea wa-China mpaka sasa wanapeleka bidhaa 'fake' hata Marekani kwenyewe. Waliwahi hata kuzalisha maziwa ya sumu na kuyauza huko !!

Obama hana ubavu wa kuwakemea wa-China, na wa-Chian wanajua hivyo, ndio maana wanashangilia sana ushindi wa Obama !!
Obama hana ubavu wa kuwakemea Iran, na Iran wanajua hivyo.
 
"War is our Enemy" Barrack Obama. today's Speech.

Hapo amesema yaliyo moyoni mwake kabisa.
Ndio maana hata ubalozi wa Marekani uliposhambuliwa na magaidi kule Benghazi (Libya), Obama haraka sana alilaumu ile filamu ya kukejeli uislamu, badala ya kulaumu magaidi.
Mimi naona kama matukio ya 9/11 yamngetokea wakati wa Obama, angenywea, na asingechukua hatua yoyote ile.
 
hiyo issue ya kua tough on china ilishaanzishwa na democrats...hilary clinton ana usongo nao sana, huonagi akijaga africa anajaribu kuwaambia viongozi wa africa wasinunue bidhaa fake kutoka china na kwamba wawe waangalifu kuhusu wao...tatizo la china kinachowaogopesha americans sio tu bidhaa fake...sasa wachina wako kwenye construction industry ambayo inalipa ile mbaya..deals ambazo zamani western countries walikua wanazipata zinaenda kwa wachina na wao wanajua hilo...chinese sasa hivi wanaona hela haipo europe tena kule kumechacha greece,spain, hakuna hela ila hela wanajua iko africa so wameingia africa kwa nguvu na americans and the west are afraid VERY afraid
 
Vurugu sio ushujaa, ila kwenye ulimwengu huu uliojaa kila aina ya vichaa, anahitajika mtu mkakamavu.

Angalia hapa chini:-
  • Iran inatishia kuangamiza Israel (kuifuta kwenye uso wa dunia). Hapa ukiwa na kiongozi goi-goi kama Obama, magaidi hao watatimiza azma yao.
  • Kila kona ya dunia sasa kuna ugaidi. Hapa lazima kuwe na kiongozi jasiri kama Reagan au Bush.
  • China imetia fora kwa bidhaa 'fake'. Sasa Obama amewalea wa-China mpaka sasa wanapeleka bidhaa 'fake' hata Marekani kwenyewe. Waliwahi hata kuzalisha maziwa ya sumu na kuyauza huko !!

Obama hana ubavu wa kuwakemea wa-China, na wa-Chian wanajua hivyo, ndio maana wanashangilia sana ushindi wa Obama !!
Obama hana ubavu wa kuwakemea Iran, na Iran wanajua hivyo.

Mkuu kwa hiyo huamini kwamba ushindi wa OBAMA unatokana na mapenzi ya MUNGU and for a good reason, angekuwa Romney ameshinda, kesho Netanyahu angetua Merikana na F-16/15 akimshawishi Romney aishambulie IRAN kesho kutwa bila ya kujali athali zinazo weza kuikumba DUNIA kwa kufanya ujinga wa ku-please watu ambao hawaoni mbali! Mara ngapi tumemsikia OBAMA akikemea IRAN - yeye anatumia busara zaidi kuliko mabavu, ana-act promptly anapo jilidhisha kwamba hakuna njia mbadala ya kumaliza tatizo, yaani unashagaza sana hao maraisi unao wasifia kwamba wako tough/bully mbona walishindwa kumkamata/kumuua OSAMA miaka nenda rudi, kwa nini unamsema vibaya OBAMA? unamdhalau kwa kuwa si MZUNGU!

Dunia iendelee kupigana a proxy war on your behalf? Hapa unaleta mambo ya Wachina kupoteza lengo tu, hasira zako hasa hasa ni IRAN na Waarabu you can't fool a nobody. Eti kila kona Duniani kuna Ugaidi - kwani ujuhi ugaidi ulitokana na TAIFA gani linalo wanyanyasa binadamu wenzao kwa kuwanyanganya aridhi yao na kuwaweka kwenye semi-concentration camps, wana emulate mambo ya Hitler to letter!

Mh Wachina, Wachina, Wachina..... mkuu kwani Wachina waliwahi kukukwaza kwenye jambo lipi? Eti wanatengeneza bidhaa fake:

  • Ndege za kivita za China including stealth fighter/bomber kwa mawazo yako ni FAKE!
  • Manowali na nuclear submarine zao kwa mawazo yako ni FAKE!
  • ICBM zao with Nuclear payload kwa mawazo yako ni FAKE!
  • Rocket ambazo zina wapeleka Wachina kwenda outer space kwa mawazo yako ni FAKE!
  • Sasa hivi wanaongoza kutegeneza PVCs na Wind Turbines zinauzwa dunia nzima Merikani included - NAZO NI FAKE!
  • British Telecom wamefanikiwa kutandaza optic fiber, na 4G networks nchi nzima, yote hayo thanks to Chinese Hauwei Company - Vitu vyote ni FAKE nafikili.
  • Miaka mitatu hivi iliyo pita Uchina ilipiga tafu kifedha Merikani - sina shaka msaada huo ulikuwa FAKE.
  • Juzi Juzi hapa Wachina walikaribishwa na wa Merikani kuwekeza kwenye nyanja za mawasiliano na Nishati, lakini maseneta wakawawekea ngumu kutokana na wivu tu, wanasingia eti usalama wa Taifa, wanalisema hilo huku wakijuwa kwamba vifaa vingi vya mawasiliano nchini Merikani vinatokana na kampuni ya Hauwei.
  • The list is endless.

Uchina utanunua chochote cha quality yoyote cha muhimu hela yako i.e ukitaka vitu vya low quality haya, high quality haya - wakulahumiwa na wafanya biashara siyo Wachina.

Kuhusu maziwa yaliyo kuwa na traces za sumu, mbona niliwahi kushudia incidents kama hizi zinakumba ma-super markets ya Merikani na Ulaya mpaka bidhaa zina ondolewa kwenye shelves - why pick on CHINESE as if Chnese are some Monster.
 
Ndugu zangu USA nizaidi ya Obama. Chochote ambacho USA inainterest nacho lazima ikipate haijalishi inaongoza REPB or DEMC, subirini muoone.
 
Sina cha kuongeza zaidi ya kusema,tukumbuke hata Toyota kuna kipindi aliuza magari yasiyo na ubora USA. Na Toyota ni Japan.
 
After Obama win, hope and relief in China

By Kristie Lu Stout, CNN

November 7, 2012 -- Updated 0950 GMT (1750 HKT)

Hong Kong (CNN) --
China was a whipping boy on the U.S. campaign trail. So now that incumbent Barack Obama is savoring victory, Beijing will be breathing a sigh of relief.

There will be relief that a bitter campaign -- where both candidates talked tough on China -- is over.
China will be especially glad it doesn't have Mitt Romney to deal with.

"China is quite happy that Obama won the election because Obama is a known entity," says political columnist Frank Ching. "It's better to have the devil you know, than the one you don't."

Source: CNN.com - 2012 Elections Results, Breaking, World, Business, Sports, Entertainment and Video News

My take:
Obama is a disaster to the world.
China will freely continue to produce and sell counterfeit products to the world for the next four years.
Russia and Iran are equally happy for Obama victory as they know him as a weak US president.
The world needs tough US president like Reagan and Bush (both senior and junior).

Netanyahu new it well before it happen, and Obama left him with his stupid ideology of world domination through military conflict. Jews mnamatatizo sana, no one atayewakubalia na sera zenu The Project for the New American Century (PNAC) . This stupid organization of jews funded exerted influence on high-level U.S. government officials in the administration of cowboy Bush and his thugs and affected the Bush Administration's development of military complex and foreign policies, especially involving national security and the Iraq war. People tired with those jews blood suckers. Now the world is the better place for both of us.
 
Mkuu kwa hiyo huamini kwamba ushindi wa OBAMA unatokana na mapenzi ya MUNGU and for a good reason, angekuwa Romney ameshinda, kesho Netanyahu angetua Merikana na F-16/15 akimshawishi Romney aishambulie IRAN kesho kutwa bila ya kujali athali zinazo weza kuikumba DUNIA kwa kufanya ujinga wa ku-please watu ambao hawaoni mbali! Mara ngapi tumemsikia OBAMA akikemea IRAN - yeye anatumia busara zaidi kuliko mabavu, ana-act promptly anapo jilidhisha kwamba hakuna njia mbadala ya kumaliza tatizo, yaani unashagaza sana hao maraisi unao wasifia kwamba wako tough/bully mbona walishindwa kumkamata/kumuua OSAMA miaka nenda rudi, kwa nini unamsema vibaya OBAMA? unamdhalau kwa kuwa si MZUNGU!

Dunia iendelee kupigana a proxy war on your behalf? Hapa unaleta mambo ya Wachina kupoteza lengo tu, hasira zako hasa hasa ni IRAN na Waarabu you can't fool a nobody. Eti kila kona Duniani kuna Ugaidi - kwani ujuhi ugaidi ulitokana na TAIFA gani linalo wanyanyasa binadamu wenzao kwa kuwanyanganya aridhi yao na kuwaweka kwenye semi-concentration camps, wana emulate mambo ya Hitler to letter!

Mh Wachina, Wachina, Wachina..... mkuu kwani Wachina waliwahi kukukwaza kwenye jambo lipi? Eti wanatengeneza bidhaa fake:

  • Ndege za kivita za China including stealth fighter/bomber kwa mawazo yako ni FAKE!
  • Manowali na nuclear submarine zao kwa mawazo yako ni FAKE!
  • ICBM zao with Nuclear payload kwa mawazo yako ni FAKE!
  • Rocket ambazo zina wapeleka Wachina kwenda outer space kwa mawazo yako ni FAKE!
  • Sasa hivi wanaongoza kutegeneza PVCs na Wind Turbines zinauzwa dunia nzima Merikani included - NAZO NI FAKE!
  • British Telecom wamefanikiwa kutandaza optic fiber, na 4G networks nchi nzima, yote hayo thanks to Chinese Hauwei Company - Vitu vyote ni FAKE nafikili.
  • Miaka mitatu hivi iliyo pita Uchina ilipiga tafu kifedha Merikani - sina shaka msaada huo ulikuwa FAKE.
  • Juzi Juzi hapa Wachina walikaribishwa na wa Merikani kuwekeza kwenye nyanja za mawasiliano na Nishati, lakini maseneta wakawawekea ngumu kutokana na wivu tu, wanasingia eti usalama wa Taifa, wanalisema hilo huku wakijuwa kwamba vifaa vingi vya mawasiliano nchini Merikani vinatokana na kampuni ya Hauwei.
  • The list is endless.

Uchina utanunua chochote cha quality yoyote cha muhimu hela yako i.e ukitaka vitu vya low quality haya, high quality haya - wakulahumiwa na wafanya biashara siyo Wachina.

Kuhusu maziwa yaliyo kuwa na traces za sumu, mbona niliwahi kushudia incidents kama hizi zinakumba ma-super markets ya Merikani na Ulaya mpaka bidhaa zina ondolewa kwenye shelves - why pick on CHINESE as if Chnese are some Monster.

Pole sana mkuu.

Ila jiulize swali moja tu.
Hapa duniani ni nchi gani inayoongoza kwa kutengeneza bidhaa 'fake' (Tanzania, Marekani, Japan, Uingereza, Siuth Africa, ...........) ??
Ukiweza kujibu hilki swali, basi utakuwa umepata majibu ya maswali yako yote hapo juu.

Kuhusu Obama, yeye hana tofauti yoyote na democrat presidents wote waliopita. Angalia Jimmy Carter, Bill Clinton, na sasa Obama. Wote hao (Carter na Clinton) walichezewa sana na magaidi, maana magaidi wanajua kuwa sera za democrat ni dhaifu sana katika medani za kimataifa.
Carter alichezewa na Iran kama mtoto mdogo, na Clinton alichezewa na magaidi wa Somalia.
Sasa angalia jamaa kama Reagan na Bush. Jamaa hawa walikuwa strong sana. Saadam Husein na Taliban wanajua hilo. Iran walifyata mkia kwa Reagan, n.k.
Wewe jiulize, kwa nini China, Iran, na Russia wamesherehekea sana ushindi wa Obama (kwani ni rais wa nchi zao) ????
 
Netanyahu new it well before it happen, and Obama left him with his stupid ideology of world domination through military conflict. Jews mnamatatizo sana, no one atayewakubalia na sera zenu The Project for the New American Century (PNAC) . This stupid organization of jews funded exerted influence on high-level U.S. government officials in the administration of cowboy Bush and his thugs and affected the Bush Administration's development of military complex and foreign policies, especially involving national security and the Iraq war. People tired with those jews blood suckers. Now the world is the better place for both of us.

The world is a better and safer place to live because of Jews.
1. Remember in 1981 when Israel destroyed Iraqi nuclear facility in Baghdad ?
Saadam Hussein built the nuclear reactor so as to produce weapons to destroy Israel and other nations.
Just imagine if Saadam was to possess nuclear weapons and give them to suicide bomber terrorists around the world.
Israeli did the bombing of the Saadaam's nuclear reactor and saved the world.
2. Remember in 2006 when Israel destroyed Syria' nuclear reactor ?? Syria was to produce nuclear weapons and supply them to terrorists around middle east. Again, thanks to Israel, we are safe now.

Thanks God we have Israel to make the world a better and safer place for all of us.
God bless Israel.
 
Netanyahu new it well before it happen, and Obama left him with his stupid ideology of world domination through military conflict. Jews mnamatatizo sana, no one atayewakubalia na sera zenu The Project for the New American Century (PNAC) . This stupid organization of jews funded exerted influence on high-level U.S. government officials in the administration of cowboy Bush and his thugs and affected the Bush Administration's development of military complex and foreign policies, especially involving national security and the Iraq war. People tired with those jews blood suckers. Now the world is the better place for both of us.

Well said MKUU.
 
Back
Top Bottom