After General Bosco Ntaganda to be transfered to ICC who is next?

Niwemugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
902
Reaction score
462
Dunia bwana ina mambo mengi sana na hasa Wamarekani usiwachezee, wanakutumia then wakimaliza wanakudump tu unakuwa kama kondomu baada ya kutumika haina thamani tena. Huyu General Bosco Ntaganda na ndugu yake General Laurent Nkundabatware ambao wote ni watusi wa Kinyarwanda wameisumbua sana DRC wameua, wamebaka na kutumikisha watoto wadogo kwenye vita vya msituni. Ndugu yangu ukiangalia documentary inayohusu hawa ndugu wakiwa wanafanya unyama utatokwa na machozi.Documentary hiyo inaitwa Blood Coltan.

Sasa Bosco Ntaganda tayari anatakiwa ICC who is next, my guess goes direct to Laurent Nkundabatware, then the last will be President Kagame maana dume mara nyingi huwa linapelekwa machinjioni siku ya mwisho.Nasema hivo maana bila Rwanda kuingilia DRC amani ingekuwa bado inatawala
 
War Lords wote wa DRC inabidi wakamatwe na wafunguliwe mashtaka ya mauaji ya kimbari nao ni wafuatao
· President Paul Kagame
· General Bosco Ntaganda
· General Laurent Nkunda
· Brigadier-General Sultani Makenga
· Jean-Marie Runiga
· Lt Col Vianney Kazarama
Ni bahati mbaya sana wote ni Wanyarwanda ndo wavamizi na ndo wanoendeleza mauaji nchini DRC
 
Dunia bwana ina mambo mengi sana na hasa Wamarekani usiwachezee, wanakutumia then wakimaliza wanakudump tu unakuwa kama kondomu baada ya kutumika haina thamani tena.........

Sasa Bosco Ntaganda tayari anatakiwa ICC who is next, my guess goes direct to Laurent Nkundabatware, then the last will be President Kagame maana dume mara nyingi huwa linapelekwa machinjioni siku ya mwisho.Nasema hivo maana bila Rwanda kuingilia DRC amani ingekuwa bado inatawala
Amani ya Congo na nchi zote za Afrika inategemea kama serikali imesalimu amri kuwa mwanasesere(serikali kibaraka) ya US au moja ya wababe wa mataifa ya NATO.

Historia ya Congo iko wazi, mataifa kupe ya US na ulaya ndio yanayotengeneza mazingira ya vita,migogoro ili ziendelee kupitisha mrija wa kunyonya mali na rasilimali za nchi za Afrika.

Ni kweli nchi kupe (parasite) hutumia hizo condom na wanapomaliza haja huzichoma moto(huziua) au kuzipeleka Uholanzi au Arusha kuzipumzisha.
 
sitoshangaa nitakaposikia ntaganda akimtaja kagame kuwa ndiye alikuwa mdhamini wake mkuu. Kwanini ntaganda alikwepa kuingia mikononi mwa serikali ya rwanda akaamua jikabidhisha kwa barozi wa Marekani.
Nadhani labda alihisi Kagame anaweza mu excute kuficha ukweli akaamua kujiwahi.
Any way ni mtazamo wangu na hii ICC imetengenezwa kuwaadhibu wa afrika tu
 
Dunia bwana ina mambo mengi sana na hasa Wamarekani usiwachezee, wanakutumia then wakimaliza wanakudump tu unakuwa kama kondomu baada ya kutumika haina thamani tena. Huyu General Bosco Ntaganda na ndugu yake General Laurent Nkundabatware ambao wote ni watusi wa Kinyarwanda wameisumbua sana DRC wameua, wamebaka na kutumikisha watoto wadogo kwenye vita vya msituni. Ndugu yangu ukiangalia documentary inayohusu hawa ndugu wakiwa wanafanya unyama utatokwa na machozi.Documentary hiyo inaitwa Blood Coltan.

Sasa Bosco Ntaganda tayari anatakiwa ICC who is next, my guess goes direct to Laurent Nkundabatware, then the last will be President Kagame maana dume mara nyingi huwa linapelekwa machinjioni siku ya mwisho.Nasema hivo maana bila Rwanda kuingilia DRC amani ingekuwa bado inatawala

hiyo ni documentary na ni fiction tu...wamarekani wanataka kuuaminisha ulimwengu uongo mtupu...hizo documentary zina chumvi na uongo mwigi sana...mzungu asiyejua hili wala lile atatengenezaje doc na wewe uiamini?hizi ni propaganda
 
Dunia bwana ina mambo mengi sana na hasa Wamarekani usiwachezee, wanakutumia then wakimaliza wanakudump tu unakuwa kama kondomu baada ya kutumika haina thamani tena. Huyu General Bosco Ntaganda na ndugu yake General Laurent Nkundabatware ambao wote ni watusi wa Kinyarwanda wameisumbua sana DRC wameua, wamebaka na kutumikisha watoto wadogo kwenye vita vya msituni. Ndugu yangu ukiangalia documentary inayohusu hawa ndugu wakiwa wanafanya unyama utatokwa na machozi.Documentary hiyo inaitwa Blood Coltan.

Sasa Bosco Ntaganda tayari anatakiwa ICC who is next, my guess goes direct to Laurent Nkundabatware, then the last will be President Kagame maana dume mara nyingi huwa linapelekwa machinjioni siku ya mwisho.Nasema hivo maana bila Rwanda kuingilia DRC amani ingekuwa bado inatawala
Hivi wale INTERAHAMWE walioendesha mauaji then wakakimbilia DRC na Serikali ya DRC ikawahifadhi... na hawajafikishwa hata kwenye Mahakama ya mauaji ya kimbari - ICTR, na wemekuwa waliishambulia RWANDA...Jumuiya ya Kimataifa inasemaje juu ya hilo??
 
nashangaa urafiki wa tony blair na kagame , kweli pesa haina adabu, kagame kamnunua tony na kumfanya kuwadi wake huku ulaya
 
Ikumbukwe kua the guy turned himself in, hajaenda icc kwa nguvu za rwanda wala congo. Na i believe what he will reveal about leaders of the two countries will be interesting and surprising.
 
Amani ya Congo na nchi zote za Afrika inategemea kama serikali imesalimu amri kuwa mwanasesere(serikali kibaraka) ya US au moja ya wababe wa mataifa ya NATO.

Historia ya Congo iko wazi, mataifa kupe ya US na ulaya ndio yanayotengeneza mazingira ya vita,migogoro ili ziendelee kupitisha mrija wa kunyonya mali na rasilimali za nchi za Afrika.

Ni kweli nchi kupe (parasite) hutumia hizo condom na wanapomaliza haja huzichoma moto(huziua) au kuzipeleka Uholanzi au Arusha kuzipumzisha.
haya maneno inabidi umuandikie kobe na mbwa kichaa! sasa na vita vya mali kaleta nani na nani kaja kuokoa maafa ya watu wa mali? Koma kabisaa kuwa na chuki na mataifa ya ulaya kwa sababu yao ya christian values! Vita vya centra africa kaleta nani na nani atakuja kuokoa watu wasife wengi? wewe unaacha kuyalaumu mataifa haya matatu ya kiarabu Iran, Oman na Yemen ambayo yamejiingiza sana na kuleta migogoro africa kwa sababu ya kutaka sharia itawale bara la africa unakimbilia kulaumu USA! sometime you need to grow up anda wise up!!
 
Hahaha yaani umenifurahisha sana ndugu yangu kweli habari hizi amwandikie Kobe, Jasusi na mbwa kichaa lakini wengine tupo macho aitake kutudanganya mchana kutwa
 
Ovyooo.
 
Pata maarifa zaidi hapa kama ni mpaka mzungu(mkiristo) aseme mambo ndio uamini.
https://www.jamiiforums.com/interna...epublic-yapinduliwa-na-waasi.html#post5987536

https://www.jamiiforums.com/interna...epublic-yapinduliwa-na-waasi.html#post5987631
 
Hahaha yaani umenifurahisha sana ndugu yangu kweli habari hizi amwandikie Kobe, Jasusi na mbwa kichaa lakini wengine tupo macho aitake kutudanganya mchana kutwa

Wadanganyaji wengine utawasikia katika post #15. Pata muda ujitafutie habari zaidi.
 
haya maneno inabidi umuandikie kobe na mbwa kichaa! sasa na vita vya mali kaleta nani na nani kaja kuokoa maafa ya watu wa mali? Koma kabisaa kuwa na chuki na mataifa ya ulaya kwa sababu yao ya christian values! Vita vya centra africa kaleta nani na nani atakuja kuokoa watu wasife wengi? wewe unaacha kuyalaumu mataifa haya matatu ya kiarabu Iran, Oman na Yemen ambayo yamejiingiza sana na kuleta migogoro africa kwa sababu ya kutaka sharia itawale bara la africa unakimbilia kulaumu USA! sometime you need to grow up anda wise up!!

Tango
Tatizo ulilonalo ni kusahau historia ya nchi za ulaya na US na unyama, unyang'anyi zilioufanya na zinaoufanya Afrika. Sikulaumu kwa hilo. Angalia hizi halafu unganisha dots na changanya na zako.

Last edited by a moderator:
Hivi wale INTERAHAMWE walioendesha mauaji then wakakimbilia DRC na Serikali ya DRC ikawahifadhi... na hawajafikishwa hata kwenye Mahakama ya mauaji ya kimbari - ICTR, na wemekuwa waliishambulia RWANDA...Jumuiya ya Kimataifa inasemaje juu ya hilo??

Unajua alieanzisha mauaji ya kimbari Rwanda or you are just saying ili na wewe uonekane umesema.RPF ya Kagame ndo waliosababisha mauaji ya kimbari baada ya kutungua ndege ya Havyarimana, soon the world will know the truth maana wanyarwanda wao kwa wao wameanza kugeukana na kutajana.So mahakama hiyo haitakuwa ya upande mmoja tu wa Wahutu sasa na Watusi soon wataanza kuapia kwenye mahakama hiyo ya mauaji ya kimbari - ICTR Arusha. So jumuia ya kimataifa haiwezi kusema lolote kwenye hilo kwa sababu bado wanamtumia Kagame kuchimba madini na kutorosho magogo ya DRC, siku magogo na madini ya DRC yakiisha basi dunia itajua ukweli about who triggered Rwanda genocide
 
Back
Top Bottom