After all is said and done...

After all is said and done...

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,567
Reaction score
25,877
Wanajamvi, nimeipata hii pahala halafu inafikirisha sana! After all is said and done, China wataibuka namba moja?

Tukumbuke marekani illibuka mara baaada ya vita ya pili ya dunia kwa kuyakopesha yale mataifa ya “allies”, wao kazi yao ilikuwa kuingia viwandani kutengeneza silaha za kuwapelekea Uingereza na wenzake kupambana na Hitler. Mmarekani yeye alimwaga atomic bomb kule Hiroshima na Nagasaki mara baada ya Japan kuingiza pua kule Hawaii kwenye tukio linalojulikana kama “Pearl Harbor” ambapo Ndege za majeshi ya Japana zilishambulia ndani ya Ardhi ya marekani kwenye kambi kule Hawaii.

Sina haja ya kuzungumza mengi kuhusiana na mahusiano kati ya Marekani na China. Lakini mchina anataka akubalike kuwa ni namba moja bila ya kuingia vitani. Hii inawezekana ni “master plan” ya Jin Ping na ndiyo maana akatawadhwa kuwa rais wa maisha wa China. Sasa hivi ventilators wamarekani wanakimbilia China. Tajiri mmoja anaitwa Heinz Kraft, alituma Ndege yake binafsi kwenda China kuleta face masks.

*Corona: Something is wrong ...!*

🔹 Wuhan to Shanghai = 629 km
🔹 Wuhan to Beijing = 1052 km
Wuhan to Milan = 8700 km
🔹 Wuhan to New York = 12000 km
🔹 Wuhan to Etli = 8670 km
🔹 Wuhan to London = 8880 km
🔹 Wuhan to Paris = 8900 km
🔹 Wuhan to Spain = 9830 km
🔹 Wuhan to India = 3575 km
🔹 Wuhan to Iran = 6560 km

🔹 * Something is wrong…!

🎈 Corona virus has originated from the city of Wuhan in China and now it has reached every corner of the world, but this virus has not reached the capital of China: Beijing and the economic-capital: Shanghai near Wuhan, why ...?

🎈 Beijing is the city where all the leaders of China live, military-leaders live here, those who run the power of China live here, there is no lock-down in Beijing! It is open! Corona has no effect here, why ...?

🎈 Shanghai is the city that runs China's economy, it is the economic capital of China, here all the rich people of China live! Those who keep the industry running, there is no lock-down here, corona here has no effect…! * Why ...? *

🎈 Is corona a pandemic virus, which has been told that you have to create panic all over the world, but you will not come to Beijing and Shanghai, it is very important to ask China the question that when the biggest developed countries of the world Could not stop Corona! Corona created terror in big cities of the world, so why did not this conflict reach Beijing…? ; Why not reach Shanghai ...? * Why ...? *

🎈 Beijing and Shanghai are the areas adjacent to Wuhan! The virus from Wuhan reached every corner of the world, but this virus did not reach Beijing and Shanghai…! * Why ...? *

🎈 Today, the whole of India and 130 crore Indians may be locked-down! Our economy is coming to a standstill, but all major cities of China are open and now and from April 8, China is also opening Wuhan! The whole world is stricken with terror! Now new cases are not coming in China and China is open…! * Why ...? *

🎈 Another big thing is that the stock market around the world has fallen by almost half! Nifty has gone from 12 thousand to 7 thousand in India too! But China's share - market was at 3 thousand which is only at 2700! There is no effect of this virus on the Chinese market as well…! * Why ...? *

Whatever these things are, they only point to one thing that the corona is a bio-chemical weapon of China, which China has left for destruction in the world! After getting some people killed, China has now controlled this virus! Perhaps he also has medicine, which he is not sharing with the world!

*Why…?*
 
Marekani haitaweza kuikopa Europe wala NATO kwasababu nao wako hoi. Europe nao hawawezi kuwakimbilia wamarekani maana wako hoi. Option itakayobaki ni mchina, kama ilivyokuwa kwa marekani mara baada ya vita kuu ya pili ya dunia, ambapo aliyakopesha mataifa na credit yake ilikuwa juu kabisa world bank huko. Na wakaweka masharti yao na kuanzisha UN. Ujerumani na Japan zikazuiliwa kuwa na majeshi. Lakini haya yanaweza kuja kubadilika after all is said and done.
 
Nadhani mpaka Mchina ajihakikishie kuumiliki uchumi wa dunia lazima pawepo na muendelezo wa matukio, hii Corona iwe mojawapo, then yafuatie mengine. Hivyo mchina atawakopesha hao jamaa wawe na mzigo wa madeni,lakini kwa hili moja la Corona sioni kama litamuweka mchina juu ya hao wengine moja kwa moja.

Hapo kwenye issue ya Corona haijagusa Beijing na Shanghai napo napata shaka, inawezekana hiyo Corona imetengenezwa na Mchina mwenyewe ndio maana kaikwepesha kwenye miji yake, hivyo tuhuma zake Corona ilitengenezwa na Mmarekani haina mashiko tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani mpaka Mchina ajihakikishie kuumiliki uchumi wa dunia lazima pawepo na muendelezo wa matukio, hii Corona iwe mojawapo, then yafuatie mengine. Hivyo mchina atawakopesha hao jamaa wawe na mzigo wa madeni,lakini kwa hili moja la Corona sioni kama litamuweka mchina juu ya hao wengine moja kwa moja.

Hapo kwenye issue ya Corona haijagusa Beijing napo napata shaka, inawezekana hiyo Corona imetengenezwa na Mchina mwenyewe ndio maana kaikwepesha kwenye mji mkuu wake, hivyo tuhuma zake Corona ilitengenezwa na Mmarekani haina mashiko tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
France accuses US of ‘hijacking’ China-made coronavirus masks meant for them, buying on tarmac
 
Wanajamvi, nimeipata hii pahala halafu inafikirisha sana! After all is said and done, China wataibuka namba moja?

🎈 Corona virus has originated from the city of Wuhan in China and now it has reached every corner of the world, but this virus has not reached the capital of China: Beijing and the economic-capital: Shanghai near Wuhan, why ...?
*Why…?*
Duh...!.
P
 
Nadhani mpaka Mchina ajihakikishie kuumiliki uchumi wa dunia lazima pawepo na muendelezo wa matukio, hii Corona iwe mojawapo, then yafuatie mengine. Hivyo mchina atawakopesha hao jamaa wawe na mzigo wa madeni,lakini kwa hili moja la Corona sioni kama litamuweka mchina juu ya hao wengine moja kwa moja.

Hapo kwenye issue ya Corona haijagusa Beijing napo napata shaka, inawezekana hiyo Corona imetengenezwa na Mchina mwenyewe ndio maana kaikwepesha kwenye mji mkuu wake, hivyo tuhuma zake Corona ilitengenezwa na Mmarekani haina mashiko tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nadhani pengine haufahamu vyema kinachoendelea, nakwambia kwanza sisi ndo tujiandae kuumia haswa. Kwasababu sisi ni tegemezi bado. Lakini pengine Africa mpya ikaibuka after all is said and done!

Mpaka sasa hivi hali za kiuchumi za mataifa haya ya west ambayo ndiyo mabeberu yetu, hali zao ni hoi bin taaban. Na ni nakwambia kama solutions zisipopatikana haraka, mataifa hayo yatapiga magoti.

Nimeshangazwa sana na the fact the Uchina eti ndo wako juu eti hakuna maambukizi Beijing wala Shanghai! Halafu wao wa PPE za kutosha hadi hayo mataifa aliyoyaambukiza yanapigania face mask zao kwasababu ya ubora wake. Yani ni face mask special za corona virus.

Hii ina maana wenzetu kwasasa wanayapigania maisha yao na pesa hazina maana kwasasa. Na zitakapomwisha unadhani watamkopa nani? Kwanza walishaanza kumkopa kabla hata ya hii corona.
 
Duh...!.
P
Mkuu mchina siyo mtu anayependa vita vya waziwazi, lakini ni wazi kuna vita kati yao na mataifa ya magharibi. Kila mmoja akimlia mwenziye timing.

Kwa ninavyofahamu, Trump pamoja na kuchaguliwa kwa Sera yake ya “America first”, alikuja kubadilika, na kuna agenda iliyokuwepo mezani ya kujaribu kuwadhibiti wachina duniani especially Africa! Trump alikuwa ameshaanza vita ya kiuchumi na China! Kuanzia tariffs, Taiwan, hadi kusapoti uhuru wa Hong Kong ambapo kulikuwepo na maandamano ya kudai uhuru yaliyoudumu kwa miezi miwili mfululizo, Marekani walisapoti wananchi kiasi cha kwamba China wakaogopa kuingiza majeshi pale. Lakini China inatambuwa Hong Kong kama eneo lake na imeapa kuilinda. Lakini sasa hivi yale maandamano(coincidentally?) hayapo tena!

Sasa hivi macho yote eti kwa mchina ndo mwenye msaada!😳🤦🏾‍♂️
 
hahahahahhhahahs siaiei waliteka msafara wakamwaga noti route ikbadilika
Ni noma mkuu😂 Mungu apushilie mbali lisije litupate kama hawa wenzetu, tutatafutana! Labda mchina alijuwa kwa mwafrika haya ni mafua tu. Lakini yakitupata kama ya wenzetu, itakuwa ndo mwanzo wa uchina kusambaza watu wake na kuitawala dunia bila hata ya kunyanyua bunduki!
 
Mkuu mchina siyo mtu anayependa vita vya waziwazi, lakini ni wazi kuna vita kati yao na mataifa ya magharibi. Kila mmoja akimlia mwenziye timing.

Kwa ninavyofahamu, Trump pamoja na kuchaguliwa kwa Sera yake ya “America first”, alikuja kubadilika, na kuna agenda iliyokuwepo mezani ya kujaribu kuwadhibiti wachina duniani especially Africa! Trump alikuwa ameshaanza vita ya kiuchumi na China! Kuanzia tariffs, hadi kusapoti uhuru wa Hong Kong ambapo kulikuwepo na maandamano ya kudai uhuru yaliyoudumu kwa miezi miwili mfululizo, Marekani walisapoti wananchi kiasi cha kwamba China wakaogopa kuingiza majeshi pale. Lakini China inatambuwa Hong Kong kama eneo lake na imeapa kuilinda. Lakini sasa hivi yale maandamano(coincidentally?) hayapo tena!

Sasa hivi macho yote eti kwa mchina ndo mwenye msaada!😳🤦🏾‍♂️
naona hata ile vita ya apple vs huawei google v sijui nini huko imesahaulika

sasa ni wimbo mmoja tu corona new model year of made 2019!!
 
naona hata ile vita ya apple vs huawei google v sijui nini huko imesahaulika

sasa ni wimbo mmoja tu corona new model year of made 2019!!
Sasahivi ni muda wa kufikiria kuhusu maisha yao kwanza, lakini maswali yako mengi. Mfano ilikuwaje hadi hao virusi wa popo wakaingia kwa binadamu? Je ilikuwa ni spill over kutoka maabara?

Inakuwaje wachina wawe wamejiandaa kuliko mataifa yote duniani na wakati chanzo ni wao?
 
Apa naangalia movie iitwayo Midway inayohusu Japan kushambulia kambi ya Marekani Pearl harbor mpaka kumpa hasira ya Marekani kudondosha atomic bombs pale Hiroshima and Nagasaki.

Nasema ivi, ikithibitika blaza China ameachia hili gonjwa makusudi ili kuididimiza Marekani na Western powers, kitakachompata tuomba Mungu madhara yasifike uku mavumbini.

Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
 
Kwamfano hii clip ya huyu mwingereza, utaelewa ni kwanini wamemfanya Jin Ping rais wa maisha. Agenda yake ni kuibuka dhidi ya west...
 

Attachments

  • IMG_4989.MP4
    6.6 MB
Apa naangalia movie iitwayo Midway inayohusu Japan kushambulia kambi ya Marekani Pearl harbor mpaka kumpa hasira ya Marekani kudondosha atomic bombs pale Hiroshima and Nagasaki.

Nasema ivi, ikithibitika blaza China ameachia hili gonjwa makusudi ili kuididimiza Marekani na Western powers, kitakachompata tuomba Mungu madhara yasifike uku mavumbini.

Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
Ni kweli umesema mkuu! Ila sidhani kama wanaweza kuwalipizia kivita. Kwanza itabidi wapige kimya kwanza after all is said and done, maana watakuwa wameshika makali na mchina mpini.

Usishangae UN ikahamishiwa Shanghai huko na kupewa jina la kichina😂
 
Wafaransa na wamarekani wanapigania face mask kutoka China. Yani China wao walishajiandaa kiasi hicho mpaka wasiwe na shida yoyote? Eti wao ndo wasaidizi! Makubwa!😳🤦🏾‍♂️
France accuses US of ‘hijacking’ China-made coronavirus masks meant for them, buying on tarmac
Dah!.. hili janga limetengeneza maswali mengi Sana yasiyo na majibu.

Ila mkuu lakini lazima tukubali hizo nchi za magharibi na Marekani zimelemewa na maambukizi sababu ya uzembe wao wa kutochukua tahadhari mapema hivyo kulaumu China pekee sio haki.

Kumbuka awali nchi hizo zilipokuwa na visa vichache vya maambukizi hakuna hatua zozote walizochukua na waliendelea na maisha yao ya kawaida tofauti na China waliochukua hatua Kali mapema ikiwemo kuufunga mji wa Wuhan hivyo kudhibiti usambaaji kwenye maeneo mengine ya China.

Kumbuka pia hili janga limeathiri uchumi wa dunia ikiwemo China ambaye anategemea sana soko la Ulaya na Marekani sidhani kama anaweza kufanya uhalifu kama huu na kuharibu soko lake kubwa makusudi ili kuipiku Marekani maana uchumi wa Ulaya na Marekani ukianguka basi soko lake pia litaathirika.

Nadhani hili janga limetokana na uzembe wa tawala za dunia kutochukua hatua mapema wakati maambukizi yalikuwa machache hayo madai mengine ya virusi kutengenezwa makusudi hayana ushahidi na uthibitisho wa kutosha zaidi ya hisia tu.

Hayo ni maoni yangu tu.
 
Ukiangalia kwa umakini sana, Uchina ndiyo taifa lililonufaika sana na huu ugonjwa wa corona. Mosi, Uchina kanunua hisa nyingi sana kwenye mashirika makubwa ya duniani ambapo nchi nyingine ziliuza hisa zao kuogopa anguko la uchumi ambalo lingesababishwa na Corona.

Pili, mpaka kufika mwezi wa oktoba mwaka jana sehemu ya Hong-Kong ilikuwa imeshageuka bomu la muda ambalo serikali ya Beijing ilishindwa kulithibiti. Uchina angetumia nguvu kuzima maandamano kama alivyofanya kule Tiananmen mwaka 1989 basi sehemu nyingine za Uchina ambazo zina utata kama Xinjian, Tibet na Taiwan kungelipuka na Uchina isingekalika maana watu wasingeiamini tena serikali ya kikoministi ya Uchina.

Lakini baada ya mlipuko wa Corona serikali ya Uchina ilipata ahueni kwasababu maandamano ya Hong-Kong yaliyotishia mustakabali wa siasa ya Uchina yaliyeyuka na sidhani kama yatainuka tena au kuwa na nguvu kama mwanzo.

Hili lilipotokea tu, lilinikumbusha kilichotokea nchini Ukraine mwaka 1932-1933 ambapo Joseph Stalin baada ya kuona Ukraine inaweza kusababisha Serikali ya Kikoministi ya Moscow kutetereka au kuanguka kutokana na umuhimu wa Ukraine kimkakati, bwana Joseph Stalin alitafuta majasusi wakaingia maabara na kutengeneza BAA LA NJAA, The Holodomor (The Ukranian Famine) ambalo liliua wayukraine zaidi ya milioni 12. Baada ya pale nguvu ya mapinduzi iliisha na Ukraine ikawa chini ya Moscow hadi mwaka 1991.

Tatu, dunia hasa nchi za Magharibi zishafahamu kwamba madhara gani yanawezatokea endapo hatari ya milipuko mikubwa ya magonjwa itaanzia Uchina. Historia inatufundisha kwamba endapo Uchina itapata ugonjwa hatari basi Ulaya haiwezi kupona kwasababu wameunganishwa na biashara (The Silk Road). Ugonjwa wa Tauni (Bubonic Plague) ulianza Uchina lakini ukafika Ulaya na kuua mamilioni, ugonjwa wa mafua ya uhispania (Spanish Flu) imegundulika ulianzia Uchina na ugonjwa wa SARS nao ulianzia Uchina.

Yote haya yalianzia Uchina kusambaa duniania kote kwasababu ya umuhimu wa Uchina kwenye biashara ya dunia. Sasa leo hii Uchina ndiyo nchi ya kwanza kuwa na viwanda (Factory of the world), nchi ya kwanza kuuza bidhaa nyingi duniani (Leading Exporter of Merchandise) na Mnunuzi mkubwa wa bidhaa (Second Largest Importer ) hivyo haepukiki. Nchi adui wa Uchina akianzisha vita ya kibaolojia basi hata yeye hatapona lakini hata Uchina akiataka apigane vita ya kibaolojia hana haja ya kupiga kwa adui, anaweza kuanzishia kwake na maadui wakaufuata kwa hamu.

Hatuwezi kusema moja kwa moja kwamba ni Uchina lakini pia hatuwezi kukataa kama Uchina anahusika. kuna mengi yanafikirisha sana kuhusu hili tatizo na muda tu ndiyo utasema kweli.
 
Back
Top Bottom