AfroDenz Pongezi na Nakuomba!

Hallo WanaJF
Mtakubaliana nami kwamba hapaJF kilamwanaJF ana kipaji na utaalamu wake. Huyu mwenzetu AfroDenz ana ujuzi mkubwa sana wa kutafuta. na ku-tailor make maua ya pongezi kwa mwanaJF yoyote mwenye siku yake maalum.
Kuna thread iko hapa chit-chat inayotangaza birthday ya The Finest na wengi tumempongeza. Mimi na Bishanga tukapendekeza na kumwomba AfroDenz ampongeze The Finest kwa maua matamu na salaam. Weee bwana wee! Cheki huo umaridadi wa maua Afrodenz aliomrushia The Finest! Cheki hilo bonge la animation! Aisee AfroDenz wee mwisho! Nakutumia pongezi nyingi sana dadaangu kwa utaalamu huo na mimi ningeufahamu ningekurushia pia ua moja kabambe.

Mwishi ni ombi kwako AfroDenz. Hivi, unafanyagafanyagaje mpaka hayo maua yanapendeza hivyo? Ni website gani yenye hayo mavitu matamu hivyo?
Asanteni. afrodenzi
@HYGEIA Unanitafuta Ugomvi na mimi muaache Rafiki yangu @afrodenzi mkuu HYGEIA sijakuruhusu uzungumze na rafiki yangu afrodenz tutagombana bwana.
 
Losambo..
dahhhhh
umenifanya nipaliwe ghafla...
asante sana.. maneno matamu sana hayo ..:)

Na mimi likichwa limevimba kweli kwa kupewa maujiko tehe tehe tehe.

Bishanga njoo ucheki post hii mkuu, imekula kwako, mrembo full ninja anajilinda mwenyewe!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom